Huku kwetu wanasema, mwenye kisu kikali ndiye anayekula nyama... Ukiona wa kuja kapata nyama na wewe uliyemswaga ng'ombe toka maporini umekosa, basi ujue mwenzio ana kisu kikali kukuzidi.. Usinune.. Ndio kanuni ya mchezo.. Kanuni ya mchezo ni mwenye kisu kilali, ale...
Badala ya kununa, badili...
Ha haa! Santa kalawe imekwisha.. Mwenye kupata kapata, mwenye kukosa kakosa.
Kifuatacho ITV ni waliokosa kubeba fito zao wakaangalie ustaarabu mwingine until further notice.
So far, kifo cha wengi harusi... Tukutane tena 2025!
Umejiunga wakati mzuri, wakati ambapo wana JF wengi wamestaarabika! Ungejiunga zama zile, kuna nyakati ungetamani ardhi ipasuke ili ikumeze kuliko kukutana na shombo za wana JF!
Same location taken from multiple angles to magnify Nairobi.
But Dar speaks of itself.. It a gigantic place u could ever be! Dar doesnt need to be that green.. Infact, its already bluish.
Ndiyo! Hawa mabeberu wa chama hawakutaka kuwapa uheshimiwa kina mama bila kuwavua chiup***.
Kina mama wakaamua kupigania haki yao huku wakilinda utu wao.
Tuna kila sababu ya kuwa support hata kama sisi hatuko huko kwenye iko charma!
Hiki hunifanya nipende biashara ya majengo.. Ukiwa na biashara ya magari, yakifa, unapotea kwenye ramani.. Lakini ukiwa na majengo, ni rahisi kubadili biashara... Hupotei kwenye ramani, mazima!
Kila kona, watu kibao... Hii inanikumbusha mwaka 2005 wakati nimekwenda kujiandikisha kusoma ADA pale IFM.... Tulikuwa nyomii.. Nafasi zilikuwa first come, first served.. Nilichelewa kujiandikisha kutokana na kukosa tuition fee... Kuja kuipata siku mbili baadaye, nakuta nafasi zimejaa.. Ikabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.