Recent content by Mikidadi Kipande

  1. M

    King'amuzi chenye Peace Tv

    Kaka kwanza mimi nikushukuru sana kwa msaada wako, mimi kwa upande wangu nimefata hatua zote ulizoziweka. nimefanikiwa na chanel baadhi zimeingia badala ya 24 nimepata 14 ingawa peace tv haimo. je nifanyeje sasa ili niipate peace tv. Mikidadi Kipande, Nipo Kigoma.
  2. M

    Wadada msioolewa muwalaumu wazungu kudanganya kuhusu ndoa ya mke mmoja

    Nani alikwambia kuwa Kuowa Zaidi ya Mke mmoja ni uzinzi? Hivi kweli wewe unajua maana ya UZINZI?
  3. M

    Tazama ramani utaona nchi nzuri (wimbo)

    Kiukweli ni Lazima Mwimbo huu Ufundishwe Wanafunzi na wao wauimbe Mstarini ikiwezekana kila siku Asubuhi kabla ya kuingia madarasani ili kuwafanya wawe Wazarendo Zaidi. Mungu Ibariki Tanzania.
  4. M

    Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

    kwa niyaba ya Walimu wote Tanzania, tunasikitika sana kwa tukio hilo natuna laani vikali sana kutokana na kitendo hicho. Na kwa upande mwingine mwenyezi mungu Amlaani huyo AFISA ELIMU MSAIDIZI kwa kushangilia tukio hilo huku akifahamu kinachoendelea kuwa hapo shuleni hakuna/miundo mbinu ni...
  5. M

    Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

    Ponda ni muislamu ndio maana hawahusu!. Ila angekuwa Mkristo huwenda angewahusu. Ila kwa hali ya kawaida ni mwanaadamu na anastahili haki zake kama binaadamu wengine. Ila huwenda pia hao wote wapo katika kutekeleza kauli ya "piga tu". Kweli inasikiisha sana na sijuwi kama ndio hivi! Basi chombio...
  6. M

    Wanaharakati wa haki za binadamu (LHRC) Ponda siyo binadamu?!!?

    Ponda ni muislamu ndio maana hawahusu!. Ila angekuwa Mkristo huwenda angewahusu. Ila kwa hali ya kawaida ni mwanaadamu na anastahili haki zake kama binaadamu wengine. Ila huwenda pia hao wote wapo katika kutekeleza kauli ya "piga tu".
  7. M

    ANGALIENI UBAGUZI HUU Ndani ya CHADEMA

    ni hivi inapobidi kuwa muwazi acha mtu awe muwazi. Hivi kuna agenda gani ya Siri hapa kikifanya kosa Chama cha Kususa na Maandamano watu wanakitetea tu eti kwa ajiri ya USHABIKI TU. Huu ni ujinga tena upuuzi kabisa. Mi kwa upande wangu namuunga mkono kabisa huyu aliye tafuta ukweli huu na...
Back
Top Bottom