Tazama ramani utaona nchi nzuri (wimbo)

Tazama ramani utaona nchi nzuri (wimbo)

Nakushauri uende kwenye radio station yoyote unaweza upata , mm mwenyewe ninautafuta sana ngoja nikikumbuka nitaenda UPLANDS FM NJOMBE nione kama wanao

uplands kwa mwaka ze boy
 
Wimbo mzuri sana;
chama, Sikiliza sauti za watoto wa Tanzania wanavyoimba;

Wimbo umeniingia hadi moyoni,
Kweli Tanzania nakupenda kwa moyo wote.

..wimbo wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote umekaa kihuruma-huruma.

..mimi napenda wimbo ambao uko uplifting kama huo wa "tazama ramani", au mwingine unaitwa "sisi tunataka kuwasha mwenge.."

cc chama
 
Kiukweli ni Lazima Mwimbo huu Ufundishwe Wanafunzi na wao wauimbe Mstarini ikiwezekana kila siku Asubuhi kabla ya kuingia madarasani ili kuwafanya wawe Wazarendo Zaidi. Mungu Ibariki Tanzania.
 
Huu wimbo unanikumbusha primary ilikuwa lazima tuimbe nyimbo kama 2 au 1 za kitaifa

Ila kuna huu ni bonge la wimbo
"Tanzania Tanzania nchi yenye Mali nyingi watu wengi wa ulaya...."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom