Recent content by MIKERA MECH. ENGINEERING

  1. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Mpenzi wangu anaota anaingiliwa kimwili usiku

    Majini mahaba hayo Chukua hatua haraka madhara yake ni makubwa na mengi
  2. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Umoja wa Kizazi cha Kuhoji(UTG) kuongea na wanahabari kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

    Wamrudishe Ben kama kweli wamemshikilia. Nimeyamiss sana matango pori yake kama vile CDF ameuliwa kwa sumu watu tukaamini kijana akakomaa anataka kumuona CDF mahakamani akiwa hai serikali inamtizama tu aaaa ghafla CDF akatokea aisee hoja ikafa kijana wa watu hatujui kama aliachiwa ama...
  3. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Haya ndiyo makosa ya Masha kisheria

    Makaburi yanafukuliwa sana siku hizi yaani. Kingunge mmemfukua.... Masha...... Lowasa....
  4. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Pengo: Nchi imeoza!

    Makaburi yanafukuliwa sana siku hizi
  5. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Vigogo wahaha kumwokoa Masha

    Mnafukua makaburi sio?
  6. MIKERA MECH. ENGINEERING

    GWAJIMA ANAOGOPEWA MPAKA NA TIGO SEMBUSE WEWE?

    Kama hamuogopi mwambie amjibu maana anamdhalilisha sana
  7. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Uchambuzi wa maelezo ya Msanii Roma baada ya kuongea na waandishi wa habari

    Hili nalo neno... Na simu walitoa wapi tena au watekaji waliwarudishia baadae ili waweze kumpigia boss wao na boss Ruge?
  8. MIKERA MECH. ENGINEERING

    GWAJIMA ANAOGOPEWA MPAKA NA TIGO SEMBUSE WEWE?

    Ila kiboko ya Gwajima ni Emmanuel Mbasha tu....Anamsema atakavyo lakini Gwajima hajibu hata tuhuma moja... Labda kwakuwa alishasema anazaa na wazuri ..... Mbasha endelea kuchambua labda atajibu siku moja ..
  9. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Historian fupi(video) ya Deo Kisandu.

    Tuwekee hapa sie wenye visimu vya mchina link hazifunguki ....
  10. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Historian fupi(video) ya Deo Kisandu.

    Itakuwa alifanyiwa figisu maana huyu mkuu anaonewa sana na wanamfuatilia ......... Kisandu ktk ubora wake
  11. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Historian fupi(video) ya Deo Kisandu.

    Mkuu unampa makavu live mheshimiwa chifu mtemi Rais mtarajiwa huyo ujue.
  12. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Mh. Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda tuletee na Ben Saanane pia

    Kwani hujamsikia kuwa walikuwa na boss Ruge tangu muda gani sijui??? Sasa alimpata wapi ? Maana Makonda alisema atapatikana na tunapomuona amepatikana anashukuriwa Ruge maana yake sielewi tena aaahhh
  13. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Mh. Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda tuletee na Ben Saanane pia

    Makonda alisema kabla ya jumapili Roma atapatikana na kweli kabla ya hiyo siku Ruge amemleta roma,maana yake Ruge na Makonda wanaijua hii michezo. Ruge amemtoa wapi Roma? Makonda angempataje Roma ambae hata jeshi la polisi haliwezi ahidi?
  14. MIKERA MECH. ENGINEERING

    Mh. Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda tuletee na Ben Saanane pia

    Makonda na Ruge watuletee Ben Saa Nane pia. Wanajua jinsi ya kuwapata
Back
Top Bottom