Salaam Wadau,
Kwa wakandarasi wa wa Ujenzi daraja la kwanza hadi la saba ambao hawana wataalamu/utaalamu, napenda kuitambulisha kampuni yetu kuwa tuna wataalaamu wanaoweza kusimamia miradi ya ujenzi kama Site Engineers, Civil Technicians na Quantity Surveyors.
Wahandisi waliosajiliwa na board yaUhandisi (ERB) na Quantityrs Surveyors waliosajiliwa.
Tunatoa huduma zifuatazo kwa maelewano ya gharama nafuu.
1. Site Management/ Site Manager/Site Engineer
2. Site Foreman/ CivilTechnicians
3. Skilled Labour/Masons, Steel fixers, Carpenters, Plumbers,Electricians etc
4. Structural Engineer/ Structural Design ( Incase of Design and Build Projects)
5. Quantity Surveyors/ Kuandaa madai(claim) ya mkandarasi kwa ajili ya malipo
6. Kuandaa working schedule kutumia MS Project
7. Kusimamia technical issues zinazojitokeza site
8. Kuandaa schedule of material
Imezingatiwa kuwa kuna watu wenye uwezo wa kutafuta kazi (marketing) wakakosa utaalamu (expertism). Hapo tunakaribisha partnership.
Tuwasiliane inbox kwa mawasiliano zaidi.
Eng.
Asante