Pengo: Nchi imeoza!

Pengo: Nchi imeoza!

Waraka unatolewa kwa viongozi wa nchi ambao sio wakatoliki ila wakikaa wakatoliki hapo juu hamna waraka

Unafki ,unafki,unafki
 
Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.

  • Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
  • Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
  • Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
  • Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
  • Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Huyu mzee watu hawamuamini tena , siku hizi kaamua kukitumikia chama chake waziwazi .
 
Hivi yule askofu aliyepokea mamilion ya iptl kupita mkombozi bank alimchukulia hatua gani?
 
Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.

  • Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
  • Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
  • Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
  • Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
  • Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Pengo aliyatamka hayo wakati akiupinga utawala wa wakati huo ambao Rais alikuwa HATOKANI na Kanisa hilo.
Sasa Pengo, amekuwa kibogoyo,hathubutu kutoa kauli wala Waraka wa kukemea . Kanisa sasa ndio lilioza kwa kukaa kimya
na kulea hali hiyo.
 
Pengo asituzingue. Kashindwa kufika mahakamani kwa kesi ya Gwajima kwa sasa hana mvuto. Aache waumini wake (ambao ndio watendaji ktk serikali) wafanye yao.
 
Hivi yule askofu aliyepokea mamilion ya iptl kupita mkombozi bank alimchukulia hatua gani?
METHODIUS KILAINI, jimbo kuu Bukoba........... hakuna kitu kibaya kama UNAFIKI,eti una penis inasimama na maisha yako yote hausex, hata biology inakataa........ huo tu ni unafiki tosha wa kwanza wa kukana asili yako
 
Jamani wakatoliki njooni mjiangalie kwenye hiki kioo cha unafiki
 
Pengo tunasubiri waraka,
Makaburi haya c mliambiwa hayafukuliwi
 
Huyu alikuwa pengo wa miaka hiyooo, leo hii ni mtu wa kusifia sifia tu japo hakuna cha kusifia.

Back
Top Bottom