Messi anacheza soft ball!CR7 nguvu nyingi Kama mbeba vyuma'CR kitu amemzidi messi ni umri tu!lakin vingine vyoote mess anaongoza!UEFA ndio anaongoza kwa sasa dhidi ya CR'na CR kesha tolewa!la liga vita bado'TUZO ya dunia mess anaongoza!mfungaji wa la liga wa muda wote mtoto anaongoza
Daaaah!baba hapo lazma. Umtafute,maana hapo mm na mautundu yangu yote nmechoka hapo kaka'alafu ukute kapaki mbele ya mlango wa kutokea ndan ya nymba!nimeilike hiyo mkuu'
[QUOT E=Mwajuma Mchawi;11786905]Hai!Mimi hapa niripo natoma ripoti kuja daslamu kama huna mgani unafikawaje kama mtu mgeni laasmi kabiasa?6aomba saada
Kijifunze Kiswahili kwanza wewe'Dar"watakunanii
Achana na kesi za kushinda mkuu!imekuaje jambo lisijadiliwe bungeni!na ANNE MAKINDA mbona karuhusu!mana huyo mwanasheria kaz yake pale bungeni ni kushauri na kupendekeza na sii kutoa amri.chukua hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.