Tarifa kwa Umma: Imba Ukombozi

Tarifa kwa Umma: Imba Ukombozi

Siasa za Tanzania zimegubikwa na gilba ya maslahi kiasi kwamba mwanachama wa CHADEMA anaweza kuhamia CCM ikiwa malengo yake fulani ya yatatimia. Anaweza kuhama CUF kuhamia ACT ikiwa kuna fursa ya kupata madaraka na sehemu aliko wamesheheni watu wengi hivyo kupata cheo mtiti wake sio kitoto.

Ndio maana tukahitaji MGOMBEA BINAFSI ihuhishwe kusudi kuepusha unafiki wakutumikia chama cha kibepari miaka 10 ukilipwa mishahara na posho, na unaamia chama cha kijamaa nakudai sasa upo chama kinachoendana na mtazamo wako.

Hizi RUZUKU sharti masharti yaongezwe au zipungue, nasikia hata chama cha Dovutwa kila mwezi anapokea kalaki tisa kutokana na KODI ZETU WANANCHI

Ukombozi wa wtz
 
 
Last edited by a moderator:
Ife ana UKAWA zowona inakaza kumu Tanzania.

 
Last edited by a moderator:
Chadema inacheza miguu yote kweli mnastahili kuchukuwa nchi kwani vigezo mnavyo
 
Back
Top Bottom