Recent content by mikeimani

  1. M

    Israel yashambulia maeneo ya karibu na Ikulu ya Syria

    Ufupi tu wa akili. Habari zimejaa tele watu wanashindwa hata kudadavua vitu rahisi kabisa. Wanahemkwa na chuki na mapenzi ya dini na jamii za watu.
  2. M

    Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

    Tatizo kuna kubambikiziana kesi. Lasivyo huyo ni wa kupewa adhabu kali
  3. M

    Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

    Yah, naelewa yapo hayo. Lakin mtizamo iwe kila mtu kutimiza majukumu yake na kuheshimiana maana kila mtu ana mhitaji mwenzie. Kuna watu wanaogopa kuanzisha biashara sababu wanaogopa kuibiwa na wafanyakazi wao, au kuwa biashara itakufa sababu wafanyakazi wao hawatakuwa wanajali kazi ila...
  4. M

    Tambua sababu kuu za vita ya Ethiopia

    Maji yatoke kwangu halafu unipangie matumizi wewe, dah
  5. M

    Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

    Yah, ni kweli unazungumzia vitu vya muhimu. Lakini haitokaa iwezekane kila mtu kuwa muajiri. Na unaweza kuajiri huku nawew umeajiriwa. Msingi wa nilichobandika hapo juu ni kuwa tuheshimiane na kila upande utimize majukumu yake. Kama vipi mwajiri asitafute wafanyakazi, kazi zoote afanye yeye na...
  6. M

    Mtoto wa tajiri shule ya sekondari Scolastica katika kashifa

    Kila upande lazima utimize majukumu yake. Wafanyakazi wafanye kazi kwa bidii na maarifa na nidhamu halafu mwajiri aboreshe maslahi ya wafanyakazi wake, asiwanyanyase. Huku akiwa makini asiingie hasara. Hiyo ndo staili ya maisha. Ndo ustaarabu wenyewe. Ndivyo inavyotakiwa. Wafanyakazi wako...
  7. M

    Afghanistan: Wanafunzi Wanawake wametenganishwa na wanaume kwa mapazia madarasani

    Umesahau watoto wa kiume kugeuzwa, mademu wako mbali
  8. M

    Wahadhiri wa Vyuo Vikuu na mishahara ya Wabunge na Wakurugenzi Mashirika ya Umma

    Moja ya sifa kubwa ya nchi zinazoendelea (maskini) ni kutojali elimu. Zitamlipa mamilioni jamaa fulani anayeenda kusema kuwa daraja la pale kata ya mjimwema ni la muhimu (wakati mkuu wa wilaya, mkoa, madiwani wanajua na wanaweza fikisha habari) halafu litamlipa vijisenti jamaa anayekwenda...
  9. M

    Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

    Hiyo inapendeza kufundishwa kuanzia ngazi ya digrii ya pili au iwe kama postgraduate ya mwaka mmoja. Tuhangaike sana na kozi za ujasiriamali, ufundi, uvuvi, kilimo, ufugaji Sasa kijana kamaliza form 6 unampeleka miaka 3 akasomee digrii ya business administration. Akimaliza mwajiri anamuajiri...
  10. M

    Ubunge wa Viti maalumu na wa kuteuliwa ufutwe hauna tija yoyote

    Hata wa majimbo ni wengi sana. Hela nyingi zinatumika kuhudumia viongozi na sio kuletea maendeleo wananchi. Utakuta kuna jimbo la mjini na vijijini. Hapo hapo kuna madiwani na wakuu wa wilaya. Wote wanashughulikia kero hizo hizo za wananchi kwa gharama kubwa. Idadi ya wabunge wa majimbo ipungue pia.
  11. M

    Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

    Mwacheni maza amalizie muda wake. Sema nae aanze kutembelea huko vijijini.
  12. M

    Polisi juzi Hamza aliwaua na kuwapora silaha, leo mahabusu wamewapiga na kutoroka, bado tu panapovuja hampaoni?

    Ni kweli mleta uzi. Watu bora liende. Wengi hawajali kazi zao japo unaweza kukuta ndio hiyo hiyo anayotegemea kuendesha maisha yake. Utamaduni wa kupenda kazi ni kama hatuna vile. Sasa sijui nini kifanyike.
Back
Top Bottom