Recent content by Mike_

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa clinical officers 2

    Duuh 😲... NGOs zenyewe ndo zinafungwa kwa hiyo serekalini ndo wanalipana pesa ndogo hivi???....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hamas walimkuta Joshua amevaa bulletproof

    Joshua katoka SUA, kaenda Israel kufanya internship, hata miezi 6 hajafikisha afu kuna wajinga wanaongozwa na dini bila kufikiri wanasema alikuwa mwanajeshi, hivi kuna mtu anaweza kuingia jeshini bila mafunzo, Video inaonesha kabisa hana silaha yoyote alafu wapumbavu wanasema alikuwa mwanajeshi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza ungekuwa Rais wa nchi ungelifanyia nini taifa lako? Au tunakuwa watu wa kulaumu tu?

    Acha nisubiri reply ziwe nyingi nione imagination za wabongo, Mi 1. Asubuhi na mapema baada ya kuapishwa nauvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. 2. Naunda Katiba ya nchi huru ya Tanganyika yenye kuakisi mahitaji ya wananchi. 4. Nabadili mfumo wa elimu. 5. Nationalize rasilimali za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi na hali duni ya maisha kwa jamii ya watu weusi

    Habarini wakuu. Leo nilikuwa naangalia makala ya Africa News Channel YouTube ilikuwa inaelezea ubaguzi na hali duni ya maisha wanayokumbana nayo ya jamii ya Wairaq weusi. Nikagundua kuwa katika nchi nyingi watu wenye asili ya Africa huwa ndio wanaokuwa masikini kuliko makundi mengine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Zitto na upotoshaji ni kama wa damu na nyama

    Jamaa Kuna kundi la watu halimtaki
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa dini nchini uko sawa kwa dini na madhehebu yote?

    Demokrasia ina madhaifu yake na moja n hapa, Ukijinasibu kuwa mwana demokrasia lazima uheshimu uhuru binafsi wa watu, kuabudu, kukusanyika as long as kinachofanywa hakivunji sheria za nchi. Dini ya mtu/kiongozi sio dini ya taifa, Ingekua hivo wakristo wote nchi hii wangeforciwa kuwa waislam...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    R.I.P Magufuli alionesha njia Kama tunaweza, na mwezie anafuata, Kwa mwembo huu majirani watakuwa wanakuja kutibiwa kwetu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali inavyosambaza kwa kasi mashine za X-Ray na Ultrasound nchini

    Haya ndio wananchi tunayoyataka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Naunga mkono hoja Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya kemia, natafuta kazi yoyote ya taaluma yangu au ya kutumia nguvu

    My country my motherland [emoji28][emoji28] Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wapemba kila sehemu ila wabara Zanzibar Noooo

    Sijui huu Muungano utavunjwaje Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania NGO'S na upatikanaji wake wakazi

    Haya mashirika mengi yao ndani kumejaa kujuana, urafiki, ukabila, na ukanda. Ukifahamiana na HR, Country Director or hata Coordinator tayari umeula. Ukitaka kuingia kwa mlango wa kawaida aise ni mambo mawili. Uwe na Experience ya hali ya juu. Na pili uwe na uwezo mkubwa. Ila fresh from...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, homa ya ini inatibika kwa mitishamba?

    Poleni sana Nilikutwa na huu ugonjwa, na nikaambiwa n Chronic na ilinipasa kuwa nafanyiwa monitoring kila baada ya miezi sita Nimeenda kuponea kwa Mwamposa, Kaka kwa MUNGU YOTE YANAWEZEKANA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hofu iliyopitiliza (generalized anxiety disorder, gad)

    Anza kumskiliza Mwamposa ni mwezi mmoja tu utakua huogopi chochote msee
Back
Top Bottom