Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,090
- 9,429
SAhihiHizo kada ni wajanja sana .
SAhihiHizo kada ni wajanja sana .
Hizi ninazo zote mkuuShusha na mkeka wa tgts
Kuanzia Diploma hadi Specialists MkuuKwa Kada Ipi CO, MD au MMED
PatianaHizi ninazo zote mkuu
😂😂😂😂😂Duuuh. Pato la mwezi la CO baada ya makato anazidiwa na mama Ntilie Tena wa kawaida. Serikali ongezeni mishahara mpunguze dharau kwa wafanyakazi
Mkuu naomba msaada TGHS J ni kiasi gani?Hii ni Basic Salary...ya CO yaani TGHS B..
Take home inategemea na Makato yake..
Sina Salary Slip Kwa sababu Mimi Sio Muhisika yaani Sio CO ila Ninafahamu Mishahara yote ya Afya..Tamisemi na Wizara ya Baadhi ya Taasisi..
View attachment 3244548
Mkuu naomba msaada TGHS J ni kiasi gani?
Pamoja sana mkuu
Hongera sana. Parefu hapo.Mkuu naomba msaada TGHS J ni kiasi gani?
DAKTARI ( MD ) Analipwa kiasi gani kwa anayeanza
Akiwa Wizara Ipi au Sekta Ipi akiwa Tamisemi au?DAKTARI ( MD ) Analipwa kiasi gani kwa anayeanza
Sorry kwa kukuchosha mkuu
TGSH G???Kuanzia Diploma hadi Specialists Mkuu
Both Tamisemi na WizaraAkiwa Wizara Ipi au Sekta Ipi akiwa Tamisemi au?
Au Akiwa na TGHS E?
Niliomba scale salary za Health Personnel kwenye Taasisii achana na wale wa Mchengerwa na RRH mkuuTGSH G???