Uhuru wa dini nchini uko sawa kwa dini na madhehebu yote?

Uhuru wa dini nchini uko sawa kwa dini na madhehebu yote?

Kwanza, sikubaliani na utaratibu wa serikali kufungia makanisa bila amri ya mahakama.Imani ni kitu subjective sana, kuwapa watu wachache nguvu kubwa ya kufunga na kufungilia taasisi za kidini bila mchakato wa mahakama wa wazi sio sahihi kabisa.
Kanisa ls Grace na huyo washukuru serikali kuwafungia
Walikuwa wakihatarisha amani ya nchi

Mtu anasimama wazi na kuhubiri kuwa hakuna kitabu kilichojaa upumbavu kama Biblia nenda YouTube Uwasikilize yeye na mkewe Grace ni kutukana Biblia

Hebu fikiria mamilioni ya watanzania wanaokiheshimu hicho kitabu angeachwa aendelee ingekuwaje .imani kali wasingemuacha

Uhuru wa kuabudu lazima uzingatie katibs kuheshimu.omani za watu wengine sio tu.kuporomoshea matudi tu
 
Kwa mtu mwingine kula kitimoto,kambale, sangara na pweza sio injili ya kweli kwa mwingine ni injili ya kweli kula chochote.
Ni kweli kabisa Yoda, hii ndiyo maana kazi ya utume kwa watu wa mataifa imeambatana na mafundisho yenye kutuasa kuwa wote tunaokoolewa kwa neema za Mungu na wala si kwa kupitia matendo ya sheria. Hii inatokana na mkazo na msisitizo uliopo katika Neno la Injili kuwa kimtiacho unajisi mtu si kile kiingiacho mwilini mwake bali tu kile kitokacho.
 
Mimi napinga watu au kundi lolote kubambikiwa kesi ya aina yoyote, kama ishu ni ugaidi zipo taratibu za kufuata kisheria, ndio maana hukuona CHADEMA imefungwa au kufutwa alipokamatwa Mbowe au wanapokamatwa wanachama wake wengine kwa makosa ya uchochezi n.k.
Uhuru upi usio na mipaka unaeleza Yoda? Nini kanisa kufungwa hukuona Kesi zisizo na kichwa wala miguu wakibambikiwa waislamu kwa hoja mfu ya Ugaidi? Ikiwa kutakuwako "laissez faire leadership" ni vipi tutabaki salama? Iko wapi maana ya "state"? Kwamba watu wadhulumiwe, wauwawe au kutapeliwa kwa mlengo wa uhuru wa kuabudu kisha Serikali ikae kimya! What a no sense?! Ukivaa kilemba cha ugaidi utauwawa na Ukivaa kilemba cha utapeli utafungiwa, wakati mwingine mtumie vyema certificate zenu za sheria japo vichwa ni vya kuku
 
Demokrasia ina madhaifu yake na moja n hapa,

Ukijinasibu kuwa mwana demokrasia lazima uheshimu uhuru binafsi wa watu, kuabudu, kukusanyika as long as kinachofanywa hakivunji sheria za nchi.

Dini ya mtu/kiongozi sio dini ya taifa, Ingekua hivo wakristo wote nchi hii wangeforciwa kuwa waislam.

kila mtu anadini yake hatakama anchoabudi kinaweza kuwa chakula kwa mwingine [emoji23]

Raha ya demokrasia inatengeneza unity in diversity kwa kujenga watu kuwa na tolerance kwa Imani za wengine.
 
Tumeshuhudia kanisa la mfalme Zumaridi, Word of Reconciliation Ministries (WRM) la anayejiita Nabii Suguye na Spirit Word Ministry la Ceasar Masisi yakifungiwa kwa sababu mbalimbali ambazo hasa zinahusu viongozi wake.

Kwanza, sikubaliani na utaratibu wa serikali kufungia makanisa bila amri ya mahakama.Imani ni kitu subjective sana, kuwapa watu wachache nguvu kubwa ya kufunga na kufungilia taasisi za kidini bila mchakato wa mahakama wa wazi sio sahihi kabisa.

Pili, kama makosa yanawahusu mfano viongozi wa kanisa kwa nini linafungiwa kanisa zima badala ya kushughulika na wahusika binafsi tu? Kama utaratibu huu utatumika sawa bila upendeleo kwa dini na madhehebu yote kuna ambalo halitafungiwa?

Kama tunataka taifa la haki kwa wote tuishi na maneno ya mwanafalsafa wa kale Voltaire aliyesema "Naweza nisikubaliane na yale unayosema ila nitaitetea hata kwa kifo haki yako ya kusema"
Pisha serikali ishughulikie upumbavu. Hawa wanaojiita manabii sijui mitume wanacheza na akili za watu wenye FRUSTRATIONS.

Unaanzaje kuwa muumini wa yule Shangingi Zumaridi? Acheni utani na Mungu!!
 
Zumaridi angemkubali Paulo ungekuta sasa ivi vikao vya arusi vinaendelea
 
Back
Top Bottom