Recent content by Mikanjuni

  1. M

    Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya Alarm System isinyonye betri

    Wadau hapa na chuo kabisa cha ME, Naomba ushauri ni njia gani ambayo naweza kufanya alarm system isinyonye betri. 2. Kuna kifaa cha kufunga kwenye gari betri isinyonywe na system nyingine ya gari IST na Suv 3. Asante wadau,
  2. M

    Betri ya gari

    Naomba wabobevu wanisaidie, Betri dry cell. Unatakiwa uishitue kwa muda gani ukiwa umepak gari kwa muda wa miezi miwili. Je itakufa usipo ishitua. Njia bora za kutunza betri ya gar in zip
  3. M

    Pata huduma ya kufungiwa GPRS kwenye chombo chako. Pikipiki, bajaji, gari

    Maelezo Mazuri sana na ya muhimu. GPS ni nzuri ni ya kampuni gani au, he kuna size za aina ngapi, bora ni size au nchi
  4. M

    Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

    Atuambie sababu za yaliomkuta.
  5. M

    wataalamu wenzangu wa kuflash simu tusaidiane katika hili

    Black bery 10. Password na email zimesahaulika
  6. M

    How to root techno spark plus

    Techno k, msaada jinsi ya kumute sauti ya kamera, (kuondoa sauti wakati was kipiga picha)
  7. M

    Jinsi ya kuondoa sauti ya kamera kwenye simu ya K7

    Naomba njia ya kuondoa sauti ya kamera kwenye simu tajwa hapo huu. Asante.
  8. M

    Msaada: Nimebadilisha simu vaulty app imeshindwa kurudisha picha zangu

    Nimebadilisha simu vaulty app imeshindwa kurudisha picha zangu. Naombeni msaada. Email ni ile ile na namba ya simu in ile ile.
  9. M

    Jinsi ya kuandika namba katika hali ya sehemu (eg: 2⅓ + 3¾) bila kutumia app

    Nimebadilisha simu, email na namba ya simu pic zilizopo vaulty hazijajawa restored. Naombeni msaada namna ya kurufishwa
  10. M

    Jinsi ya kuandika namba katika hali ya sehemu (eg: 2⅓ + 3¾) bila kutumia app

    Nimebadilisha simu, email na namba ya simu pic zilizopo vaulty hazijajawa restored. Naombeni msaada namna ya kururudisha hizo doc
  11. M

    Jinsi ya kuandika research

    Title owe. Perception of patient towards medical health personnel in govt hospital in Tanzania. Ukiweka Neno negative unakuwa bias. Na many utakosa cha kudefend kwenye research gap
Back
Top Bottom