Naomba kujua juu ya Joyce Kiria

Nani kaibua hii thread? Haya sasa watetezi wake waje wamtetee tena...
Ningekuwa mimi ningepiga kimya...
Ya kwanza imemshinda...na hii tena?
yeye ndio tatizo afu anajifanya mshauri...mshauri my foot...

HG wangu alinambia alikuwa na kampeni eti kwa wanaume tufate mapenzi ela tutafute wenyewe...

Sasa yeye kulipa kodi ndio hadi mchozi...

Mnaopenda isidongo...za kuambiwa mchanganye na zenu
 
joyce kiria, amini usiamini, kama kweli ulimfanya huyu jamaa kitu mbaya, kuna siku utakuja kulia machozi ya damu. hata hivyo shukuru jamaa ni ----, ningekuwa mimi wewe na yule kada msingekuwepo hapa duniani. shukuru jamaa ni mstaarabu sana.ulifanya kitu kibaya sana, ni kweli mlishaachana kila mtu ana maisha yake lakini itatakiwa ufike kipindi ukubali ukweli, uregret na utubu ili nafsi iache kukusuta kwasababu kama haitakupata wewe itawapata hata watoto, ni laana inaenda hadi kizazi cha nne.
Dua limempata mwewe!
 
kumtoa mtu mbali na kumsaidia ni sawa lakini haimaanishi kuwa eti ukae na mtu kwa mateso tuu kisa kakutoa mbali....... sometime inabidi upime uchukue maamuzi mapemaaaa

BIG UP JOYCE
Njoo ukoment tena mkuu! Maana kakinukisha tena, sijui ushauri wako huu utabaki constant su utabadili
 
The truth is... Joyce aliolewa na DJ Nelly kwa ndoa kubwa tu na wakaishi kwa takribani more than one year. Sasa kilichotokea ni kwamba DJ Nelly mambo yake yakaharibika (yaani alirun bankrupt kifedha) hivyo Joyce akamwambia hawezi kuishi naye tena, cause si saizi yake... lakini kubwa zaidi linaloniuma hata mimi ni kwamba Joyce alimtangazia DJ Nelly kuwa mtoto si riziki, hivyo jamaa akaamua "mama nenda na safari njema." Na kwa kuwa sisi Wakristo huwezi kutoa talaka, Nelly alishindwa kufanya hivyo... Mimba aliyonayo hivi sasa ni ya mshikaji mmoja hivi jina lake linahifadhiwa kwa sasa.
Ooh
 
joyce kiria, amini usiamini, kama kweli ulimfanya huyu jamaa kitu mbaya, kuna siku utakuja kulia machozi ya damu. hata hivyo shukuru jamaa ni ----, ningekuwa mimi wewe na yule kada msingekuwepo hapa duniani. shukuru jamaa ni mstaarabu sana.ulifanya kitu kibaya sana, ni kweli mlishaachana kila mtu ana maisha yake lakini itatakiwa ufike kipindi ukubali ukweli, uregret na utubu ili nafsi iache kukusuta kwasababu kama haitakupata wewe itawapata hata watoto, ni laana inaenda hadi kizazi cha nne.
Mkuu utakuwa nabii wewe.
 
Du Inasikitisha sana. Lakini yeye mwenyewe aliahidi, kwa shida na raha. Laana itamfikia, Ndoa haichezewi hata siku moja. Wapo walioichezea tunawaona walivyo hivi sasa.
Mnasahau kuwa huyo MDADA ni Kabila gani.
 
Back
Top Bottom