Jinsi ya kuondoa sauti ya kamera kwenye simu ya K7

BansenBurner

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Messages
6,835
Points
2,000

BansenBurner

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2015
6,835 2,000
Kuna Simu nyingne hukuti sehem yakutolea Sauti ya camera hzo ni version ya nchi flani. Kama Japan for privacy issues simu zinazoenda kuuzwa kule hata Iphones huwez mute camera sound it's illegal to take pictures bila idhini so Sauti haitoki.
Inaboa sana ukiwa na simu ya hvo
 

Forum statistics

Threads 1,389,249
Members 527,879
Posts 34,021,065
Top