Unaweka Picha yake na jumbe hiyo "nitakukumbuka sana" kwenye Wtsp Status hivi pale kwenye kitufe cha Ku reply ana reply je[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huyo Mwanamke ni Mjinga na Mpumbavu kabisa hana Elimu.
Hii inafanya wanaume ambao wako kwenye Mahusiano na Ma single Mother kufikiria Mara mbilimbili kama visa ndio hivi kila siku. Hii changamoto ya kuoa Single mother ilikuwepo kwenye jamii ila kwa ujio wa Mitandao ya Kijamii imevumbua na kila...
@kiranga wewe ni writter mzuri endelea kuandika mkuu najua una maarifa mengi na kuyagawa na hasa kwa kuandika humu ni Hobby yako. Comment zako huwa wengi tunazisoma na hizo zimekupa upekee na wengine humu.
Hello Guys,
Katika maisha ya sasa (sijui huko nyuma) kuwa na marafiki wanaoleweka namaanisha wenye uchumi wa kati na wajuu kama wewe ni hohe hahe ni ngumu sana kujoin na watu kama hawa, utaishia kuwa na wa level ya chini ambao nao ukipata changamoto ya kifedha e.a hawawezi kukusaidia zaidi ya...
Unaonekana una chuki KUBWA SANA nawachagga nasikitika ni kwanini mnawachukia wachaga kiasi hiki? Ni mali na akili walizo pewa na Mungu tu au kuna lingine?
Hii kuua ni kweli kabisa mimi ni mchagga wa kibosho nimeshuudia wazee wakisema, kuhusu wanawake wa kimachame kuwa wa jeuri hii ni ukweli kabisa kati ya 10 7 ni wajeuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.