Uchaguzi 2020 Tundu Lissu sitakuchagua hata useme nini

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,643
2,000
Hata shetani anaingia kanisani.
Baada ya kupasuka kwa pazia la hekalu, Mungu hakai Tena hekaluni.
Hekaluni kabaki shetani na mapepo yake.
Ndio maana yule aliyempiga mwenzake marisasi mengi, anayewabambukia watu makesi, aliyemuuua mama Yake Eric Kabendera kwa stress daima anashinda kanisani akitaka aombewe.
Huyu Ni mtu aliyekula michango yetu kwa wahanga wa tetemeko Bukoba
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,264
2,000
TUNDU LISU SITAKUCHAGUA HATA USEME NINI.

Na, Robert Heriel

Haya ni maamuzi yangu, sijalazimishwa na mtu. Mimi Taikon wa Fasihi ambaye siku zote nimekuwa kijana mpenda maendeleo, mpenda haki, nimeamua sitakuchagua. Huu ni uamuzi wangu binafsi.

Tundu Lissu najua ujumbe huu utakuumiza, lakini ndio mambo ya siasa. Nakusihi vumilia tuu. Kura yangu ni moja tuu wala sio nyingi.

Najua unahaki ya kuniuliza kwa nini sitakuchagua, na mimi kwa vile ni mpenda haki basi nitakujibu. Bila shaka nawe utaridhika.

Maamuzi yangu haya, yasihusishwe na maamuzi ya Watanzania wengine, kila mtu anamaamuzi yake, tena kwa bahati wanaoruhusiwa kupiga kura sharti wawe na umri kuanzia miaka 18, hii ni kusema wapiga kura ni watu wazima.

Lissu sitakuchagua hata useme nini, Mimi Taikon Sitakuchagua.

Mtu gani wewe, mwanasiasa gani wewe, mbona unashindwa kunishawishi mimi mtu kama Taikon, mwana kutoka Nyota ya Tibeli, nyota yenye mbawa mbili ipaayo kutoka ulimwengu mmoja mpaka mwingine, Una nini wewe Tundu Lisu?

Mbona sikuelewi! Watakuchagua hao hao lakini sio mimi Taikon.

Kwa taarifa yako, mimi nimeajiriwa, tena ninalipwa mapesa mengine kwa kazi niliyoajiriwa nayo. Wewe Mtu gani usemaye serikali haijaajiri mtu, kwa hiyo mimi niliyeajiriwa ni nyani, nakuuliza mimi ni Nyani, Tundu Lisu acha zako bhana. Tafuta pwenti nyingine lakini sio hiyo. Watakuchagua hao hao ambao hawajaajiriwa lakini Mimi niliyeajiriwa sitakuchagua. Niache na ajira yangu. Watoto wa Mujini wanasema, Piga kelele kwa wenye ajira zao, woyoooo! Msio na ajira mtajua wenyewe, ninyi bakini na Lisu wenu huko, acheni Taikon Ale bata.

Hata useme nini sitakuchagua, muongo mkubwa wewe.

Ati unasema sijaongezewa mshahara, hivi Tundu Lisu unanichukuliaje? Kila mwaka mbona naongezewe mshahara, sasa unaposema watu hawajaongezewa mishahara, mimi sio mtu? Mimi sitakuchagua, tena sitaki hata kusikia kelele zako, ati sijaongezewa mshahara. Mbona ni haki yangu kuongezewa mshahara, kwa nini nisiongezewe, au kelele zako tuu. Kwa taarifa yako nimeongezewa tangu kale na kale, kale ya mababu, kale ya Mkoloni. Utapigiwa kura na wale wasioongezewa mishahara lakini sio mimi. Taikon mwana wa mishahara.

Tundu Lisu hata useme nini sitakuchagua.

Mimi nakukatalia katakata. Nchi yetu ya Amani iweje useme kuna watu walitekwa na kuuawa. Wewe ni Muongo. Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa. Waliotekwa wote walipatikana, hao unaowataja sijui unawatolea wapi. Unataka kusema nini? Kwa serikali yetu haijui wajibu wake? Unataka kusema nini wewe Tundu? kwamba polisi hawajui kazi yao? Embu acha hizo bhanaa!
Mimi ninayejua nchi yetu haina utekaji na mauaji sitakuchagua, watakuchagua hao wanaojua mambo hayo tena wenye undugu na urafiki na hao watu waliotekwa na kuuawa. Lakini mimi kura yangu hutopata ng'ooo!

Tundu Lisu acha kutuletea fyokofyoko mzee!

Unasema TRA wanasumbua watu, hivi hayo maneno unayatolea wapi? Mbona huku mtaani mimi ninakibiashara changu sisumbuliwi. Mbona ninadunda kama mpira wa kona. Wewe ukisema TRA wanasumbua watu, unazungumzia watu gani? hiyo ndio hoja, hahahah! Tundu acha utundu wako bhana. Mimi nisiyesumbuliwa na TRA sitakuchagua ng'oo. Watakuchagua hao hao wanasumbuliwa na hao TRA wao na familia zao ndio watakupigia kura lakini sio mimi Taikon Mzee.

Tundu Lisu sitakuchagua hata ulie machozi ya damu.

Unafikiri mimi ninahuruma, unafikiri mimi ninajali, hata kama unasema ulipigwa risasi, mimi sijali. Hata kama ulizaliwa mzima na sasa unatembea kama chiba, mimi sijali. Wala sitakuchagua, sitaki kujua waliokupiga ni kina nani, na kwa nini walikupiga. Mimi sina huruma wala sijali. Watakuchagua watu wenye huruma, watu wanaojali, lakini Mimi Taikon jitu lenye roho ngumu na mbaya sitakuchagua.

Tundu Lisu sitakuchagua hata ugaregare chini.

Ati unasema uhuru wa vyombo vya habari, sijui Freedom of expression na vingereza vyako, trooooka huko! Vyombo vya habari mbona viko huru, mimi kila siku natazama luninga, naona muziki wa kina Diamond, Alikiba na Harminizer. Kwani huo sio uhuru. Mbona kila siku naona habari za michezo, kwani sio uhuru huo, mbona kila siku naona vipindi vya maendeleo luningani kwani sio uhuru huo. Mbona naona habari za kisiasa za serikali na chama tawala kwani huo sio uhuru wa vyombo vya habari? aaah! Lisu acha bhana hizo.

Mbona naangalia Shilawadu kwa raha zangu bila bughudha, wewe vipi brazaa!

Mimi ninayeangalia katuni luningani, habari za michezo na burudani, vipindi vya watoto na maendeleo, vipindi vya wanyama sitakuchagua, maana naona huo ndio uhuru wangu, Watakuchagua hao hao ambao hawana uhuru katika kubadili chanel, haohao wasio na uhuru wa habari, mara sijui uhuru wa kutoa maoni yao.

Tundu Lisu sitakuchagua hata ufunge na kuomba.

Unasema watu wanabambikiwa Kesi, Haaah! Lisu embu kuwa na aibu basi. Nani kabambikiwa kesi. Najua hakuna mtu aliyebambikiwa kesi. Hayo majina utakuwa unayabuni tuu katika ulimwengu wa kufikirika. Mimi ni mwanafasihi bhana, najua majina ya kubuni kama hayo.
Mimi sijabambikiziwa kesi, sitakuchagua. Watakaokuchagua ni wale waliobambikiziwa kesi wao na familia zao, na rafiki zao na jamaa zao. Lakini Mimi sitakuchagua.

Lisu sitakuchagua hata upige mayowe!

Ati unasema deni la taifa limeongezeka, Lisu! Lisu...! Embu muogope Mungu. Deni gani lililopanda, labda deni lako. Mimi najua nchi yangu haidaiwi, hiyo inayodaiwa ni nchi yako wewe na wafuasi wako. Nchi yangu haidaiwi, tena bila aibu unasema ati nchi yetu inadaiwa matrilioni ya pesa. Karibu nusu ya Trilioni 100 ati nchi inadaiwa. Uongo tuu!
Mimi sitakuchagua kwa maana nchi yangu haina deni kubwa kama hilo. Watakaokuchagua ni wale wanaodaiwa, wanaojua nchi inadaiwa, lakini mimi nisiyejua tunadaiwa sitakuchagua.
Nchi yetu ni tajiri haiwezi kudaiwa hela zote hizo.

Lisu sitakuchagua hata usipovaa barakoa

Ati unasema sisi wakulima soko letu limezorota, hivi Lisu uliwahi kushika hata jembe. Njoo shamba huku uone utamu wa jembe. Nimelima, nimevuna, nikauza mazao. Soko lipo kubwa sana, bei ni nzuri kabisa, kodi na tozo mbalimbali ni rafiki. Ninapoongea hapa kupitia kilimo nimefanikiwa mno. Angalia hata wakulima wa nchi hii walivyofanikiwa, wanamajumba mazuri, wanamagari na wanafurahia maisha. Wewe unakuja na kauli zako za rejareja hapa.

Mimi sitakuchagua, watakuchagua hao wakulima wasio na soko la mazao yao, hao wakulima ambao wanatozwa tozo kubwa na nyingi za mazao yao hao ndio watakuchagua. Lakini sio mimi ninayejua utamu wa jembe.

Sitakuchagua hata useme nini

Ati Wasanii wa Muziki na bongomuvi hawapati pesa kulingana na kazi zao. Lisu bhana. Unataka kusema serikali haijaweka sheria za kuwalinda wasanii na kazi zao mpaka kazi zao ziibiwe na wahuni? Unataka kusema kuwa wasanii ni watumwa wa vyombo vikubwa vya habari? Kwa taarifa yako Taikon ni Msanii, mwanamuziki, mshairi, na muigizaji. Ninafaidi sanaa yangu. Ninamiaka kumi na nimeyaona mafanikio ya muziki wangu pamoja na kuigiza filamu.

Saa nitakuchaguaje kwa uongo wako.
Watakaokuchagua ni hao wasanii ambao miaka nenda rudi tangu mkoloni hawana mbele wala nyuma, hata nyumba ya milioni 50 inawashinda wakati wao wanawaingizia mapesa watu wengine. Kazi yao wamekalia umaarufu wa kupaka makeup na kukaa uchi. Hao ndio watakuchagua, lakini sio mimi mnyama, Taikon mwenye majumba yaliyotokana na kazi yangu ya sanaa.

Sitakuchagua hata ulie Nyau! Nyau kama Paka.

Unasema maisha ni magumu mpaka vijana wanashindwa kuoa, na mabinti kutokuolewa. Unasema wanawake wanalalamika hawaolewi kisha unawaambia wataolewaje ikiwa vijana hawana muelekeo wa maisha. Unawaambia wakuchague wewe ili angalau utoe muelekeo ili vijana waoe na wanawake waolewe.

Unasema vijana wengine wanamiaka mpaka 25 wako nyumbani wanakula ugali wa shikamoo kwa sababu hawana dira. Unasema wakikuchagua utatoa fursa mbalimbali za ajira iwe za kujiajiri au kuajiriwa ili vijana wasibakie kula ugali wa shikamoo na Mboga za Marhaba.

Tena unasema wengine wanazalia nyumbani wakitelekezwa na vijana waliowapa ujauzito kisa vijana hawawezi kumudu mahitaji yao.
Unasema kuna vijana wamemeliza vyuo miaka mingi iliyopita wapo nyumbani wamezubaa zubaa, ati wanaambiwa wakauze Gahawa na Kashata, unasema wakikuchagua utawapa dira.

Mimi mbona nimeshaoa, tena nina mke na watoto. Nimemaliza chuo na nimeajiriwa. Mbona mimi sili ugali wa shikamoo na Mboga za Marahaba. Mimi nina Dira ya maisha Lisu. Waambie hao wasio na dira ya maisha ndio wakuchague. Mimi maisha yangu sio magumu. Sili ugali wa masimango.

Watakucgaua hao hao wasio na muelekeo wanaohitaji uwape muelekeo. Mimi na wenye mielekeo ya maisha hatutakuchagua.

Tundu Lisu, najua sasa utakuwa umeridhika na sababu zangu za kwa nini sitakuchagua hataulie meeeee! Kama mbuzi!

Nina sababu elfu moja kama Mileniamu za kutokukuchagua lakini sitaki kukuchosha, hizi pekee zitautuliza moyo wako ili usinione mbaya.

Lisu sitakuchagua hata ubweke kama Mbwa Huu! Huu! Huuu!

Taikon nimemeliza, leo sitaki Maswali.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Bado hujui maana na madhumuni ya siasa za upinzani.
 
Bekabundime

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
1,994

Wewe si nzi tu kama nzi wengine wa kijani hata sisi hatutaki kura yako fisi wewe
 
Centia2

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
342
500
HATA HIVYO SIKUSHANGAI WEWE NI MSANII WA FASIHI HIVYO HATA AKILI ZAKO ZIPO KISANII ZAIDI!!
 
Siamini vicheko

New Member
Jun 22, 2020
2
20
Siku zote nilikuwa sipata majibu kwann sisi watz ni masikini na miaka inazid kwenda na umasikini haupungui Bali unazid kuongeza a,Jibu nililipata siku Lisu alipofafanua jins TRA inavyo wafukarisha watanzania na kuua uchumi was nchi,TRA na CCM ndio wanaotufanya tuwe masikini kias hiki,CCM CCM CCM ni lazima waondoke ili umasikini uishe,wenye akili wanaelewa ninachozungumza
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,550
2,000
Hongera kwa fasihi anaishi iliyoshiba. Watu kama nyie mko juu. Unatupa mshale ule ule kwa Njia nyingine maridhawa bila mtu mwingine kunyanyua kope.
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,550
2,000
Bule kabisa wewe! Yaani mimi nadhani maandishi haya yote yana maana kumbe ni pumba! Acha wenye fikira kubwa tumchague Lissu aisee.
Soma vizuri utamuelewa. Ni fasihi Andishi kufikisha ujumbe kwa njia nyingine ambayo adui anajua uko naye. Ha ha ha ha
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,392
2,000
TUNDU LISU SITAKUCHAGUA HATA USEME NINI.

Na, Robert Heriel

Haya ni maamuzi yangu, sijalazimishwa na mtu. Mimi Taikon wa Fasihi ambaye siku zote nimekuwa kijana mpenda maendeleo, mpenda haki, nimeamua sitakuchagua. Huu ni uamuzi wangu binafsi.

Tundu Lissu najua ujumbe huu utakuumiza, lakini ndio mambo ya siasa. Nakusihi vumilia tuu. Kura yangu ni moja tuu wala sio nyingi.

Najua unahaki ya kuniuliza kwa nini sitakuchagua, na mimi kwa vile ni mpenda haki basi nitakujibu. Bila shaka nawe utaridhika.

Maamuzi yangu haya, yasihusishwe na maamuzi ya Watanzania wengine, kila mtu anamaamuzi yake, tena kwa bahati wanaoruhusiwa kupiga kura sharti wawe na umri kuanzia miaka 18, hii ni kusema wapiga kura ni watu wazima.

Lissu sitakuchagua hata useme nini, Mimi Taikon Sitakuchagua.

Mtu gani wewe, mwanasiasa gani wewe, mbona unashindwa kunishawishi mimi mtu kama Taikon, mwana kutoka Nyota ya Tibeli, nyota yenye mbawa mbili ipaayo kutoka ulimwengu mmoja mpaka mwingine, Una nini wewe Tundu Lisu?

Mbona sikuelewi! Watakuchagua hao hao lakini sio mimi Taikon.

Kwa taarifa yako, mimi nimeajiriwa, tena ninalipwa mapesa mengine kwa kazi niliyoajiriwa nayo. Wewe Mtu gani usemaye serikali haijaajiri mtu, kwa hiyo mimi niliyeajiriwa ni nyani, nakuuliza mimi ni Nyani, Tundu Lisu acha zako bhana. Tafuta pwenti nyingine lakini sio hiyo. Watakuchagua hao hao ambao hawajaajiriwa lakini Mimi niliyeajiriwa sitakuchagua. Niache na ajira yangu. Watoto wa Mujini wanasema, Piga kelele kwa wenye ajira zao, woyoooo! Msio na ajira mtajua wenyewe, ninyi bakini na Lisu wenu huko, acheni Taikon Ale bata.

Hata useme nini sitakuchagua, muongo mkubwa wewe.

Ati unasema sijaongezewa mshahara, hivi Tundu Lisu unanichukuliaje? Kila mwaka mbona naongezewe mshahara, sasa unaposema watu hawajaongezewa mishahara, mimi sio mtu? Mimi sitakuchagua, tena sitaki hata kusikia kelele zako, ati sijaongezewa mshahara. Mbona ni haki yangu kuongezewa mshahara, kwa nini nisiongezewe, au kelele zako tuu. Kwa taarifa yako nimeongezewa tangu kale na kale, kale ya mababu, kale ya Mkoloni. Utapigiwa kura na wale wasioongezewa mishahara lakini sio mimi. Taikon mwana wa mishahara.

Tundu Lisu hata useme nini sitakuchagua.

Mimi nakukatalia katakata. Nchi yetu ya Amani iweje useme kuna watu walitekwa na kuuawa. Wewe ni Muongo. Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa. Waliotekwa wote walipatikana, hao unaowataja sijui unawatolea wapi. Unataka kusema nini? Kwa serikali yetu haijui wajibu wake? Unataka kusema nini wewe Tundu? kwamba polisi hawajui kazi yao? Embu acha hizo bhanaa!
Mimi ninayejua nchi yetu haina utekaji na mauaji sitakuchagua, watakuchagua hao wanaojua mambo hayo tena wenye undugu na urafiki na hao watu waliotekwa na kuuawa. Lakini mimi kura yangu hutopata ng'ooo!

Tundu Lisu acha kutuletea fyokofyoko mzee!

Unasema TRA wanasumbua watu, hivi hayo maneno unayatolea wapi? Mbona huku mtaani mimi ninakibiashara changu sisumbuliwi. Mbona ninadunda kama mpira wa kona. Wewe ukisema TRA wanasumbua watu, unazungumzia watu gani? hiyo ndio hoja, hahahah! Tundu acha utundu wako bhana. Mimi nisiyesumbuliwa na TRA sitakuchagua ng'oo. Watakuchagua hao hao wanasumbuliwa na hao TRA wao na familia zao ndio watakupigia kura lakini sio mimi Taikon Mzee.

Tundu Lisu sitakuchagua hata ulie machozi ya damu.

Unafikiri mimi ninahuruma, unafikiri mimi ninajali, hata kama unasema ulipigwa risasi, mimi sijali. Hata kama ulizaliwa mzima na sasa unatembea kama chiba, mimi sijali. Wala sitakuchagua, sitaki kujua waliokupiga ni kina nani, na kwa nini walikupiga. Mimi sina huruma wala sijali. Watakuchagua watu wenye huruma, watu wanaojali, lakini Mimi Taikon jitu lenye roho ngumu na mbaya sitakuchagua.

Tundu Lisu sitakuchagua hata ugaregare chini.

Ati unasema uhuru wa vyombo vya habari, sijui Freedom of expression na vingereza vyako, trooooka huko! Vyombo vya habari mbona viko huru, mimi kila siku natazama luninga, naona muziki wa kina Diamond, Alikiba na Harminizer. Kwani huo sio uhuru. Mbona kila siku naona habari za michezo, kwani sio uhuru huo, mbona kila siku naona vipindi vya maendeleo luningani kwani sio uhuru huo. Mbona naona habari za kisiasa za serikali na chama tawala kwani huo sio uhuru wa vyombo vya habari? aaah! Lisu acha bhana hizo.

Mbona naangalia Shilawadu kwa raha zangu bila bughudha, wewe vipi brazaa!

Mimi ninayeangalia katuni luningani, habari za michezo na burudani, vipindi vya watoto na maendeleo, vipindi vya wanyama sitakuchagua, maana naona huo ndio uhuru wangu, Watakuchagua hao hao ambao hawana uhuru katika kubadili chanel, haohao wasio na uhuru wa habari, mara sijui uhuru wa kutoa maoni yao.

Tundu Lisu sitakuchagua hata ufunge na kuomba.

Unasema watu wanabambikiwa Kesi, Haaah! Lisu embu kuwa na aibu basi. Nani kabambikiwa kesi. Najua hakuna mtu aliyebambikiwa kesi. Hayo majina utakuwa unayabuni tuu katika ulimwengu wa kufikirika. Mimi ni mwanafasihi bhana, najua majina ya kubuni kama hayo.
Mimi sijabambikiziwa kesi, sitakuchagua. Watakaokuchagua ni wale waliobambikiziwa kesi wao na familia zao, na rafiki zao na jamaa zao. Lakini Mimi sitakuchagua.

Lisu sitakuchagua hata upige mayowe!

Ati unasema deni la taifa limeongezeka, Lisu! Lisu...! Embu muogope Mungu. Deni gani lililopanda, labda deni lako. Mimi najua nchi yangu haidaiwi, hiyo inayodaiwa ni nchi yako wewe na wafuasi wako. Nchi yangu haidaiwi, tena bila aibu unasema ati nchi yetu inadaiwa matrilioni ya pesa. Karibu nusu ya Trilioni 100 ati nchi inadaiwa. Uongo tuu!
Mimi sitakuchagua kwa maana nchi yangu haina deni kubwa kama hilo. Watakaokuchagua ni wale wanaodaiwa, wanaojua nchi inadaiwa, lakini mimi nisiyejua tunadaiwa sitakuchagua.
Nchi yetu ni tajiri haiwezi kudaiwa hela zote hizo.

Lisu sitakuchagua hata usipovaa barakoa

Ati unasema sisi wakulima soko letu limezorota, hivi Lisu uliwahi kushika hata jembe. Njoo shamba huku uone utamu wa jembe. Nimelima, nimevuna, nikauza mazao. Soko lipo kubwa sana, bei ni nzuri kabisa, kodi na tozo mbalimbali ni rafiki. Ninapoongea hapa kupitia kilimo nimefanikiwa mno. Angalia hata wakulima wa nchi hii walivyofanikiwa, wanamajumba mazuri, wanamagari na wanafurahia maisha. Wewe unakuja na kauli zako za rejareja hapa.

Mimi sitakuchagua, watakuchagua hao wakulima wasio na soko la mazao yao, hao wakulima ambao wanatozwa tozo kubwa na nyingi za mazao yao hao ndio watakuchagua. Lakini sio mimi ninayejua utamu wa jembe.

Sitakuchagua hata useme nini

Ati Wasanii wa Muziki na bongomuvi hawapati pesa kulingana na kazi zao. Lisu bhana. Unataka kusema serikali haijaweka sheria za kuwalinda wasanii na kazi zao mpaka kazi zao ziibiwe na wahuni? Unataka kusema kuwa wasanii ni watumwa wa vyombo vikubwa vya habari? Kwa taarifa yako Taikon ni Msanii, mwanamuziki, mshairi, na muigizaji. Ninafaidi sanaa yangu. Ninamiaka kumi na nimeyaona mafanikio ya muziki wangu pamoja na kuigiza filamu.

Saa nitakuchaguaje kwa uongo wako.
Watakaokuchagua ni hao wasanii ambao miaka nenda rudi tangu mkoloni hawana mbele wala nyuma, hata nyumba ya milioni 50 inawashinda wakati wao wanawaingizia mapesa watu wengine. Kazi yao wamekalia umaarufu wa kupaka makeup na kukaa uchi. Hao ndio watakuchagua, lakini sio mimi mnyama, Taikon mwenye majumba yaliyotokana na kazi yangu ya sanaa.

Sitakuchagua hata ulie Nyau! Nyau kama Paka.

Unasema maisha ni magumu mpaka vijana wanashindwa kuoa, na mabinti kutokuolewa. Unasema wanawake wanalalamika hawaolewi kisha unawaambia wataolewaje ikiwa vijana hawana muelekeo wa maisha. Unawaambia wakuchague wewe ili angalau utoe muelekeo ili vijana waoe na wanawake waolewe.

Unasema vijana wengine wanamiaka mpaka 25 wako nyumbani wanakula ugali wa shikamoo kwa sababu hawana dira. Unasema wakikuchagua utatoa fursa mbalimbali za ajira iwe za kujiajiri au kuajiriwa ili vijana wasibakie kula ugali wa shikamoo na Mboga za Marhaba.

Tena unasema wengine wanazalia nyumbani wakitelekezwa na vijana waliowapa ujauzito kisa vijana hawawezi kumudu mahitaji yao.
Unasema kuna vijana wamemeliza vyuo miaka mingi iliyopita wapo nyumbani wamezubaa zubaa, ati wanaambiwa wakauze Gahawa na Kashata, unasema wakikuchagua utawapa dira.

Mimi mbona nimeshaoa, tena nina mke na watoto. Nimemaliza chuo na nimeajiriwa. Mbona mimi sili ugali wa shikamoo na Mboga za Marahaba. Mimi nina Dira ya maisha Lisu. Waambie hao wasio na dira ya maisha ndio wakuchague. Mimi maisha yangu sio magumu. Sili ugali wa masimango.

Watakucgaua hao hao wasio na muelekeo wanaohitaji uwape muelekeo. Mimi na wenye mielekeo ya maisha hatutakuchagua.

Tundu Lisu, najua sasa utakuwa umeridhika na sababu zangu za kwa nini sitakuchagua hataulie meeeee! Kama mbuzi!

Nina sababu elfu moja kama Mileniamu za kutokukuchagua lakini sitaki kukuchosha, hizi pekee zitautuliza moyo wako ili usinione mbaya.

Lisu sitakuchagua hata ubweke kama Mbwa Huu! Huu! Huuu!

Taikon nimemeliza, leo sitaki Maswali.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Hii nchi imejaa mabwabwa, Sasa wewe ukishikishwa ukuta Kama wale vijana wa kwa njeka tanga ndo udhani kila mti Yuko Kama wewe
 
Mother Deola

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
228

I will vote for him
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom