Hii Tecno ina shida gani?

moj6

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
3,341
2,000
Ni Tecno spark 4, inagoma kuchajiwa wakati imewaka,pia nimejaribu kutransfer data kwenda kwenye PC haileti options za USB

Screenshot_20200822-092817.jpg

California love
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
19,924
2,000
inachofanya tecno ni ku advance matatizo yake.

mfano kwa sasa wamegundua hata baadhi yga samsung zinakumbwa na tatizo la kuwa nzito, wao wakaona waje na hili tatizo la kutocharge bila sababu mpaka uzime.

kuwa makini haikawii kukata mtandao.
 
Kumbe ni tatizo common?

California love
 
Baba Ndumbwi

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
289
500
Life span ya tecno ni: CALLS 10000 mns, INTERNET 100 gb na SMS 20000 baada ya hapo iweke chumba cha makumbusho kama huwezi kuwapa watoto wachezee....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom