Recent content by MIHAYO1710

  1. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Wakristo, App yenye biblia,Tenzi za rohoni na Nyimbo za Wokovu pamoja

    Mkuu vipi kuhusu tenzi ziko pamoja na beat zake (tone) ?
  2. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Kutoboa kimaisha

    Umekula lakini kijana?
  3. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Kutoboa kimaisha

    Wakuu habari zenu? Ni vigezo gani vitumike vunatumika kuhitimisha kwamba fulani katoboa? Uzi huu unalenga kuwatia moyo wale ambao pengine wanaelekea kukata tamaa ilhali kwa vigezo vya walimwengu ni wametoboa tayari
  4. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania MAISHA YANGU YA SOCCER VS NEEMA YA MUNGU

    Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer. 👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
  5. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Je, dini inaweza kuimarisha ujinga na umaskini?

    Wakuu, heshima kwenu. Lengo langu siyo kushambulia wala kudhalilisha, bali nikujaribu kuangalia uhalisia wa masuala ya ibada katika maisha halisi na matokeo yake. Tangu nikiwa kijana mdogo kabisa, nimeshiriki ibada fulani kila mwaka. "Ibada ya kubariki mbegu" Kwenye dhehebu langu. Kwenye...
  6. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Lipo jitu lenye miguvu na mapembe makali linaloamua mustakabali wa nchi yetu linauwa linajeruhi ni hatari kwa kila mtanzania

    Usitenganishe jitu hilo na CCM. JIULIZE. 👉Ukimkosoa kiongozi wa chama au serikali, Jitu linakumaliza. 👉Ukiwa mpinzani wa kweli wa CCM au serikali, Jitu linakumaliza. 👉Jitu likifanyama, unaowatenganisha na hilo Jitu wanakuja kulitetea "Kifo ni kifo tu" 👉Jaribio la kumuua Lussu kwa lisasi Dodoma...
  7. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

    Mkuu Una ufahamu wowote kuhusu lugha ya kifasihi au lugha ya picha? Usilazimishe kila sentensi ikae kwa kiwango cha uelewa wa kidini.
  8. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

    Baada ya kusoma hiki ndicho ulichoelewa hapa? Hii nchi imebeba mizigo mingi aisee
  9. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Makamu wa Rais ana nafasi gani katika nchi?

    Naomba kueleweshwa. Makamu wa rais ana nafasi gani katika nchi? 👉Anahamasisha wananchi wapambane na nani ili kupata katiba mpya? 👉Wanasiasa Wanaoishi mahabusu na magereza Leo siyo kwa sababu ya wimbo wa katiba mpya? 👉Yeye siyo makamu wa rais kutoka chama kilichoahidi katiba mpya ndani ya siku...
  10. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya hasira

    SAIKOLOJIA YA HASIRA NA UFALME WA MUNGU "A Rhapsody For Kingdom Anger Management Strategies" Amani Na Salama 🙏 Mimi sijambo na Karibu. MASWALI YA KUJIULIZA. 1.Umewahi kuwa na hasira? 2.Huwa unapata hasira Mara kwa Mara? 3.Ukiwa na hasira huwa unafanyaje? 4. Je, Kuna ndugu, jamaa au marafiki...
  11. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Mafuta ya Upako

    “Kingdom True Anointing Standards: A RENAISSANCE” Ni makala ndefu, kwa sababu hata watu wamedanganywa kwa kirefu! Uongo mkubwa unahitaji maelezo Makubwa! Mwenye moyo na nguvu na asome! AMANI NA SALAMA! Mimi ni mzima wa afya, Karibu tujifunze! **Kama umekuwa ukisikia habari za Mafuta ya...
  12. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Mungu amesahau dhambi zenu

    Yeremia 31:31-34
  13. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Mungu amesahau dhambi zenu

    Waebrania 8:7-12
  14. MIHAYO1710

    JamiiForums Tanzania Mungu amesahau dhambi zenu

    MUNGU AMESAHAU DHAMBI ZETU!!! "A KINGDOM FORGIVENESS STANDARD: A PRAGMATIC APPROACH" Amani na Salama 🙏🙏🙏 Ninayo FURAHA na ujasiri mkubwa kukupasha habari hii njema Sana! "Mungu AMESAHAU DHAMBI ZETU 🔥🔥 KIVIPI? Fuatana nami . ....!!! Ni ndoto ya Kila binadamu mwovu kumsahaulisha mdeni wake😁...
Back
Top Bottom