Recent content by MIGUGO

  1. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Samia Kings (AY, Madee na Chege ) waongoza kwenye mapokezi ya Rais Samia huko Mkata

    Ambene kashindwa kuvumilia kuside na vyama
  2. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Nunua gari unayoweza kuihudumia na sio gari uipendayo

    Hivi common problem ni nini kwenye vitz?
  3. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN

    Ndio hao waisrael wamemkamata
  4. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN

    Inasumbua baada ya mmiliki wake waisrael wamemkamata nasikia
  5. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Joe Biden amuunga mkono Kamala Harris kuwania Urais, Marekani kupata Rais wa kwanza mwanamke?

    Obama=Msoga Biden= Kamala= Tanzania =
  6. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Mayor wa jiji kakosa ubunifu na usafi

    1.Barabara hazifanyiwi usafi.Wanawatumia wafagiaji wa mafagio ya mkono badala ya mashine. 2.Ile barabara ya ufukwe ilitakiwa ipandwe mfano palm trees 3.Ufukwe wa posta ya zamani ile ni pesa.Wangebuni mfano kile kituo cha mwendokasi kiwe pale kwenye garden na ile garden itazamane na bahari...
  7. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Vyeti vyako sekondari kasaini nani?
  8. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Sisiemu walitamani waweke mibango yao ya umeupiga mwingi
  9. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi bongo hakuna tena, wanatumia artificial intelligence kuandaa makala za mchongo

    Hawa wa kike ndio kabisa.Wanawekwa kutimiza Sera ya inclusion tu.Wanahanya hanya tu
  10. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kwa raha zao.Yaani sasa hivi wanakuwa na plate namba za kiraia. Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
  11. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Je, Mwalimu au Mtumishi yeyote wa Serikali anahitaji ruhusa ya Mwajiri kusafiri nje ya nchi akiwa likizo?

    Kwani hakujaza kwenye mfumo wa e-safari details zake asafiri bila shida?Au utaratibu unakuwaje? Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
  12. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanamke anawahi kukaukiwa na maji wakati wa tendo la ndoa

    Mpe hela sio ahadi kila siku
  13. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    Sound zinazoshinda tuzo ni zile mpya,peculiar ila si zile za kuungaunga na janja janja.
  14. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

    Tupo pazuri nchi inaenda vizuri. Hakuna shida. Viongozi wameletwa na Mungu.[emoji16][emoji16]
  15. MIGUGO

    JamiiForums Tanzania Tanzania tungekuwa na akili tungetengeneza Taifa Stars sio kutegemea Klabu

    Kweli kabisa.Kama ni tunajiandaa na michuano ya mataifa ya Africa 2027,tuandae vijana toka sasa Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom