Nilikisa pesa zangu za malipo toka USA sababu ya njia mbovu zamalipo hapa nyumbani.
Hatuwezi kusema tunapiga hatua au tumepiga hatua Kama hata huduma huzi muhimu bado ni kizingiti hapa nchini.
Au tunahujumiwa? Nini kazi ya wataalamu wa masuala ya uchumi? na kwa hali hii tutawafikia wakenya...
Haya Mambo ya kuchanganyikiwa huwa yanaanza kidogo kidogo Kama hivi.
Leo wakati naingia officen nikawa nasikia mtu anaongea ndani kwa sauti, nikasema ngoja nisikilize umbea Kama kutakuwa na issue ya kusagiana kunguni hapo job, aisee kumbe jamaa yangu wa Karibu kavulugwa na ameamua kuongea...
Upo sahihi mkuu kuto kuunga mkono hoja yangu. Lakini nashukuru pia unatambua umuhimu wa rushwa katika kufanikisha mipango ya mtanzania.
Na kuhusu mwarobaini wa kupunguza rushwa hiyo tusahau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.