Ninapenda pesa, afya ikiwa na mgogoro hata kuzihesabu hutaweza.Unaogopa kufa?
Wakati wote sisi ni watumwa wa fikra, unafanya jambo kumfurahisha mtuHaya mabarakoa yamejaa usanii mtupu.
Ukiingia ofisi ya umma unalivaa. Ukitoka unalivua.
Hata mama yetu akiwa ughaibuni analivaa. Akishuka uwanja wa ndege analivua anaendelea kupuyanga.
Mabarakoa yamekuwa kama fasheni ya kubandika na kubandua. Unaangalia tu mazingira muafaka.
Barakoa imepoteza ile dhima yake ya msingi ya kujikinga dhidi ya ugonjwa bandia wa uviko.
Ni likitambaa tu linalovaliwa kulingana na muktadha wa eneo husika.
Ukimuona beberu unalivaa, akiondoka unalibandua.
Kuna haja ya kuendelea kuigiza?
Bibi Dagama.uwii saivi tunaitaje?
Haya mabarakoa yamejaa usanii mtupu.
Ukiingia ofisi ya umma unalivaa. Ukitoka unalivua.
Hata mama yetu akiwa ughaibuni analivaa. Akishuka uwanja wa ndege analivua anaendelea kupuyanga.
Mabarakoa yamekuwa kama fasheni ya kubandika na kubandua. Unaangalia tu mazingira muafaka.
Barakoa imepoteza ile dhima yake ya msingi ya kujikinga dhidi ya ugonjwa bandia wa uviko.
Ni likitambaa tu linalovaliwa kulingana na muktadha wa eneo husika.
Ukimuona beberu unalivaa, akiondoka unalibandua.
Kuna haja ya kuendelea kuigiza?
Hebu nyoosha maelezo kwanza. Shida yako ni sisi, au ni huyo Bibi Dagama? Mbona wengi siku hizi hatuvai! Tunasbiri irudi tena mwishoni mwa mwaka huu.

Anavaaga mabarakoa kwenye hafla za mabeberu tu.Kwaiyo mama anapuyanga SIMO
Hili nalo neno.Huenda ikawa ni ibada na ishara za kimasonia kwa miungu yao kufunika pua na mdomo
Naona unaelekea kwa kina Bi samia.
Tukumbushane tuu kufa ukiwa na afya njema ni ujingaMimi nitaendelea kuvaa barakoa hasa ninapokutana na mkusanyiko wa watu, inani kinga na magonjwa mengi wala si uviko tu.
Mabeberu hawa hawa mbuzi au? Ila Wazungu wanapitia mengi sana, Sasa mtu ukaitwe dume la mbuzi ni hatari kwa kweli 😆😆Ukimuona beberu unalivaa, akiondoka unalibandua.
Sasa ndo nini?Kuna ofisi huingii bila barakoa
Lazima ununue maana zinauzwa hapo hapo. Ukiingia ndani wenyewe hawavai
Mabeberu hawa hawa mbuzi au? Ila Wazungu wanapitia mengi sana, Sasa mtu ukaitwe dume la mbuzi ni hatari kwa kweli![]()