I think hawa jamaa wa chadema wako very right and on the right track,pia hawa ccm nao wako very very right but in the wrong direction . . . !
What i mean is that,chadema wanafanya kisiasa zaidi,wanacho mtuhumu mtu sio maisha yake na watoto au na mke wake au hata mume wake,wao wanakupasha...