Recent content by microgenius da monster

  1. microgenius da monster

    JamiiForums Mwenyekiti wa mtaa aliyeuza viwanja kinyemela na kusababisha bomoabomoa atatoroka

    Hali ni mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  2. microgenius da monster

    JamiiForums IKWIRIRI: Jeshi la Polisi lawaua watuhumiwa wawili wa uhalifu Kibiti

    Hivi ni nani anaeruhusiwa kumiliki silaha zilizokamatwa? Inafikia kipindi tusome na tuchambue yalioandikwa vizur kabla ya kuchangi...
  3. microgenius da monster

    JamiiForums Kuhusu Korea Kaskazini: Facts zitakazokuacha Mdomo wazi

    N Korea ni watu tofauti sanaa kitechnologia
  4. microgenius da monster

    JamiiForums Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

    Kama msanii alipotea kwenye mziki kwanini watumie nguvu kubwaa kuwaludisha wakati wanatambulika na jamii? Mimi naona wangeweka nguvu kwa wasanii wachanga/wasiotambulika, ila sio Saida wala Mr. Nice ambao walijulikana ndan na nje ya nchi hawa watumie uwezo wao/mzik mzur sababu washajulikana...
  5. microgenius da monster

    JamiiForums Watoto wa kiume mkuje hapa; kama unatabia za kuandika hivi acha sio vizuri

    Kweli baadhi ya mambo/ maneno tunapaswa tuwaachie dada zetu...
  6. microgenius da monster

    JamiiForums Yusuf Manji ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kukutwa na sare za JWTZ

    Tuepuke kuwa na mapenz na mtu katika mambo muhim kama ya ulinzi na usalama nk, kwa faida ya mtu/ watu binafsi. Tuepuke kuwa na chuki na mtu kumpandikizia kesi kwa kumkoa/kuwakowa watu kwa faida binafsi. Swala lipo kwenye vyombo husika achen wafanye kazi yao
  7. microgenius da monster

    JamiiForums Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

    Kweli kua uyaone... Pole mkuu chukua hatua stahk
  8. microgenius da monster

    JamiiForums IGP, Kama unataka kuwakamata wauaji Pwani...

    Naamn wahusika (vyombo vya ulinzi na usalama) wataipitia vzur ili kuona wanakosea wap ili walekeboshe mbinu zao
  9. microgenius da monster

    JamiiForums Mauaji ya Pwani, ni mbinu ya kuwachonganisha wananchi na Serikali

    Nimeelewa nn kitakachofuata baada ya hiki kumalizika (soft target), ila tuuu! kama hatua stahik hazijachukuliwa...
  10. microgenius da monster

    JamiiForums Weka utiwe buku

    Mmmmh cjui ujasili huo wa matangazo wameupata wap????
  11. microgenius da monster

    JamiiForums Treni ya umeme Morogoro ni mwisho wa Abood bus services?

    Tren ya umeme haina vituo vingi na inapita poron, hvyo mabasi bado yananafasi kwasababu sio abiria wote ni wa Dar-Moro wengine wanashuka vituo kabla ya Dar au Moro
Back
Top Bottom