Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,


Mkuu hii tabia ya Kupekuwa simu ya Mke haijawahi kuiacha Ndoa salama..

Mkuu Mkeo wanambandua tena atakuwa amebanduliwa siku hiyohiyo uliyosoma meseji pia anabanduliwa kila kukicha kwa kuwa jamaa haishi kuimiss.

Muku kanywe Bapa utulie kwanza halafu tafuta kamchepuko kako kazuri na wewe kakatafune. Ukiuliza hutajibiwa jibu la kukuridhisha , ukikaa kimya unaweza kuua mtu.

Kikubwa tambua Mko wanaume zaidi ya Mmoja wanaukunguta hiyo K
 
Jamani ulikua unatafuta nini katika simu ya mkeo????????
 
Huo ndio mtihani mkubwa kwa mwanaume, kuvuka salama kipindi hiki bila kuuwa mtu, kuachana au kulipiza kisasi au kupiga mtu.
 
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Yani ni sawa na marekani kaona jeshi la mapanki north korea linaingia new york likiwa na vifaru alafu anamuuliza muingereza...hawa ni wakore kaskazini??

Amka boss kama sio sms yako muite mama watoto ikiwezekana mpige mabanzi kama manne kwanza alafu muulize hiyo text imetoka wapi???

Hapo atakujibu alimpa mtu simu awasiliane na jamaa ake!! Akikujibu hivi jua umeliwa!!
 
Back
Top Bottom