Recent content by MichazPipoz

  1. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    mi nafikiri inatosha toka 2012 umemlipiza vya kutosha kampime ukimwi endelea kumgonga mi wife nilimpangia one year ya kumtesa na kweli aliisoma no lakin ule mwaka ulivoisha nikamsamehe yeye alinsumbua sana kipindi namtongoza nilikata tamaa baadae akaangukia mikonon mwangu tena
  2. MichazPipoz

    JamiiForums Tanzania Nataka kusikia Magufuli na wazee wa Iringa, mtwara, Lindi,kigoma

    Manaake toka awamu ya tatu nilisikia Mkapa na wazee wa Dar es salaam, awamu ya nne Kikwete na wazee wa Dar es Salaam, na hii ya tano Magufuri na wazee wa Dar es salaam, sasa najiuliza hivi Lindi, Rukwa, moshi, Ruvuma hakuna wazee. Io title ya mkutano sijaipenda in bora ingeitwa MAGUFULI NA WAZEE...
  3. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wife kakutana na ex wake, kafurahi mno

    huu ndo ushauri ambao ata mim ningempa
  4. MichazPipoz

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais amuwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano kati ya nchi za Kiafrika na China, SA

    majibu mbona mnashikwa na woga mi ni mpinzani lakini kwa anachofanya magufuli na majaliwa nawaunga mkono asilimia 200, Mkapa aliwai kuulizwa kwenye interviem ya Meet the Leader tvshow Kenya kwamba, "in your experience what do you think are the qualities of a good leader? Akajibu kwa kesi ya...
  5. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kunywa pombe from now until morning

    mwenyee nmemis kumbembelezwa but waifu hastuki mmewakumbuka malaya wangu wote wa kitambo na deko zao lol
  6. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti weupe wa Kisukuma ni dili?

    mi ata x naangalia za mablak tu weupe hawanipi mzuka
  7. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekoma kununua makahaba nikifika Dar

    twatwatwaaaaa
  8. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya chuo: Mabinti ndio hutajirika na vijana kuwa maskini

    kwa madem wakali wa chuo utaepukaje kuonga
  9. MichazPipoz

    JamiiForums Tanzania The Observer: Tanzanians should stop provoking us

    I enjoyed a lot
  10. MichazPipoz

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Nimependa sana apa maana ake mim huwa najiuliza maswali mpaka nakaribia uchizi; nauliza hivi 1. Mungu baada ya kumuumba adam kwa nin hakuweka ulinzi kwenye bustani au kwanini asingeweka fensi ili nyoka wasiingie? 2. Baada ya vita kuu mbinguni (Ufunuo ) mungu alimshinda shetan kwa nini...
  11. MichazPipoz

    JamiiForums Tanzania Maajabu yatokea Tanzania

    Ni rais wa kwanza kutekeleza katiba ya warioba ndani ya siku moja eg. kupunguz mawaziri
  12. MichazPipoz

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    akitumbua viroba vya stanbik apo ndo ntakubali atuongoze ka mugabe mpaka kifo chake. #viva magufuli
  13. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu wa ajabu sana

    Backtoroots: Babu zenu walikua hawana discussion na hawa viumbe; eti unakubali kuongea na x wake sawa na kukubali kuwa mme wa pili.
  14. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananifumbia kwa nyimbo ya Baba Swalehe

    [Intro] Yeah! Cheke, The Industry Yeah.. (Nahreel On The Beat!) [Verse 1] Unafatana na rafiki daily Utadhani unabarehe Kumbe wewe ni baba Vicky yeh yeh! Mwenzako baba Swalehe Unajaza marafiki home Utadhani una sherehe Ya shule mtoto huyajui dingi We ni soka tu kufatilia ligi Mkeo...
  15. MichazPipoz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ananifumbia kwa nyimbo ya Baba Swalehe

    nilimwacha dem kwa majungu ya status wassap mashairi aya apa...
Back
Top Bottom