MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
Manaake toka awamu ya tatu nilisikia Mkapa na wazee wa Dar es salaam, awamu ya nne Kikwete na wazee wa Dar es Salaam, na hii ya tano Magufuri na wazee wa Dar es salaam, sasa najiuliza hivi Lindi, Rukwa, moshi, Ruvuma hakuna wazee. Io title ya mkutano sijaipenda in bora ingeitwa MAGUFULI NA WAZEE WA TANZANIA