- Thread starter
- #21
Nmh haya mambo bado yapo mpaka awamu hii ya tingatinga?
nasikia anataka kuyazuia?
Nmh haya mambo bado yapo mpaka awamu hii ya tingatinga?
Mlio usukumani naombeni plz mnitafutie mke uko usukumani aje tusaidiane kulima mpunga maana nasikia wana nguvu.
itabidi nifikirie sana,,,kwa hiyo ukipewa mweusi hata bure umchukui?
Mwanamke mweupe ana raha yake wapendwa...yaani mimi ndiyo huwa ni ugonjwa wangu kwa kweli nikiona mwanamke,binti mweupe.
itabidi nifikirie sana,,,
sio wengi kiivyomkuu mbona usukumani wapo kibao tu
mkuu kwa hiyo ukiwa nae mweupe unaitwa mjanja wa kijiji?
Mwanamke mweusi anahifadhi joto! Hata kei yake ina vuguvugu fulani hivi la kipekee.
Mwanamke mweupe ana raha yake wapendwa...yaani mimi ndiyo huwa ni ugonjwa wangu kwa kweli nikiona mwanamke,binti mweupe.
mi ata x naangalia za mablak tu weupe hawanipi mzuka
mkuu mbona usukumani wapo kibao tu