Recent content by Michael p

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maono: Sumaye ndie mwenyekiti ajae wa CHADEMA na ndie Rais ajae wa nchi hii

    Kapi la CCM mr Zero
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu (CV) ya Dr. John Pombe Magufuli

    Nyie CHADEMA mmesema MAGU hajawahi kuongoza hata shina, je Lowasa alikuwa na wadhifa gani CHADEMA mkampa chama chenu agombee URAIS? '' Nonsense''
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yafungua kesi kwenye Mahakama ya Haki EAC dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli

    Miaka mitano itaisha mkiendekeza matamko yasiyotekelezeka na Kesi ambazo hamuwezi kushinda ni bora hizo pesa mkaanzishe ujenzi wa makao makuu au mkasaidie miradi ya maendeleo majimboni kwenu. Mwaka 2020 nafikiri mtawaeleza wananchi wenu mliandamana mara ngapi na mlifungua kesi ngapi badala ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Rais Magufuli si msafi

    NCCR MAGEUZI inamfia Mbatia anatafuta watu wa kufa nayo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

    Lowasa alienda UKAWA kwa lengo la kugombea Urais na si kuwa mwanachama wa UKAWA ndo maana hajarudisha kadi ya CCM
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kimsingi CCM imekufa, wanapumlia tu mashine za jeshi,polisi na Usalama wa Taifa

    Mrudisheni Zitto Kabwe, Mnyika na Slaa hao ndo walikuwa majembe kwenye UKAWA wenu. Mkiendelea kuwatumia makapi ya CCM mtakuwa ni watu wa kushindwa kila Uchaguzi. Hivi muumtegemee Lowasa aliyeshindwa kupeleka maendeleo kwao Monduli kwa kipindi kirefu akiwa Mbunge, Waziri na hatimae Waziri mkuu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

    Endeleeni kususa nafikiri mwaka 2020 kwenye uchaguzi mtawaeleza wananchi kwa kipindi cha miaka 5 tumesusa mara kadhaa tunaombeni Kura zenu wananchi. Kazi ya UKAWA iliyobaki ni kutoa matamko yasiyotekelezeka na kususa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kimsingi CCM imekufa, wanapumlia tu mashine za jeshi,polisi na Usalama wa Taifa

    Nyie UKAWA wadwanzi kwelikweli mnasema CCM imekufa wakati iliwagalagaza mwaka Jana kwenye uchaguzi mkuu, ngoja niwakumbushe kwa takwimu nyie UKIWA , CCM ilishinda viti 189 UKAWA 38 chama gani kinakubalika hapo? Ndo maana maigizo ya UKAWA kutoka nje ya Bunge hayajaathiri shughuli za bunge kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hafai kuwa Rais na ni balaa kwa Taifa

    Kwani Lowasa si amekwisha rudi Monduli kuchunga ng'ombe. Na alisema kama ameukosa URAIS 2015 basi ndoto zake zimezima
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Viwango vipya vya mishahara

    Salary mpya 2016/2017 TGS A.315,000/=, TGS B .399,000/=, TGS C .512,000/= , TGS D .710,000/=, TGS E.930,000/=, TGS F. 1,254,000/=, TGS G. 1,525,000/=, TGS H. 2,538,000/=, TGS I .2,880,000/= So hakuna changes zozote ni Uzushi mtupu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Lowassa kinavyoitesa CCM kuelekea uchaguzi makuu wa Menyekiti wa Chama.

    Politically Lowasa is Finished
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Lowassa kinavyoitesa CCM kuelekea uchaguzi makuu wa Menyekiti wa Chama.

    Ni Masalia ya Lowasa ndo yamesababisha kufanya Uchaguzi upya ili kukipanga CHama
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kivuli cha Lowassa kinavyoitesa CCM kuelekea uchaguzi makuu wa Menyekiti wa Chama.

    Kivuli cha Mamvi chaendelea kumtesa MNYIKA siyo CCM , CCM mziki mkubwa , Ebu jiurize huyo mamvi wenu amekwisa toa Matamko mangapi? na limetekelezwa lipi? VIVA Rais JOHN MAGUFULI your very Strong Leader. Inawezekana kazi ya UKAWA kwa kipindi hiki cha miaka mitano itakuwa ni kutoa matamko...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uko wapi uteuzi makini unaodaiwa kufanywa na Dr Magufuli?

    Tatizo hawa UKAWA hawajaamini kama Walishindwa kwa kishindo na Mgombea wao wa kuazima toka CCM. Mnataka kuongoza nchi wakati hamjiwezi,mpaka leo mnaazima wagombea toka CCM , hiyo BAVICHA yenu inafanya kazi gani? badala ya kuwapika vijana kama wenzenu wa UVCCM kazi mnayofanya ni kuwanunulia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) wa Paul Makonda!

    Cv ya Mbowe, Sugu inachekesha sana. Shule hamna kabisa. Wenzenu CCM ina hazina ya Wasomi na itaendelea kutawala kwa hazina hiyo. Hizo pesa mnazowanunulia vijana VIROBA ili waandamane ni bora muwapeleke SHULE
Back
Top Bottom