Hicho ni kiswahili kakaTuonyeshe tofauti ya kuongoza na kutawala.
Hicho ni kiswahili kaka
Sasa hilo ni swali kaka?, ni kama mtu anakuuliza niambie maana ya kula, hayo ni maneno ya Kishwahili kaka, tafuta Kamusi utapata unachokitakaNafahamu Kiswahili ila wewe hujanijibu suali langu, tuelezee tofauti ya kuongoza na kutawala.
Mbona nimeuliza suali fupi sana?

Sasa hilo ni swali kaka?, ni kama mtu anakuuliza niambie maana ya kula, hayo ni maneno ya Kishwahili kaka, tafuta Kamusi utapata unachokitaka
Kumbe hakuwahi kuwa mwenyekiti hata wa shina zaidi ya ujumbe. ...ngoma inogile ccm bye bye. ... utingo kapewa semi trailer apeleke mzigo wa mafuta kongo
Umesahau kusema kuwa hajawahi hata kuwa balozi wa nyumba kumi au hata mwenyekiti wa mtaa mkuu!![]()
Sijaona mahali kuwa alishawahi kuongoza chama kwa level yoyote, atauweza uenyekiti wa taifa?
Kumbe ndio maana sukari ilimshinda !Ni wapi aliwahi kuwa Rais?
Wewe ni matokee ya Big Result Now? Lowasa si mwenyekiti wa CHADEMA. Kugombea Urais ni tofauti na kugombea Uenyekiti. Kigezo cha kumpa Lowasa kugombea urais ni kwamba alikuwa na uzoefu wa kuwa waziri Mkuu na waziri kwa miaka kadhaa. Tofautisha nyadhifa za kisiasa na kiserikali. Aibu sana hiiLowasa alishika wadhfa gani CHADEMA kabla ya kugombea Uraisi?
Wewe ni matokee ya Big Result Now? Lowasa si mwenyekiti wa CHADEMA. Kugombea Urais ni tofauti na kugombea Uenyekiti. Kigezo cha kumpa Lowasa kugombea urais ni kwamba alikuwa na uzoefu wa kuwa waziri Mkuu na waziri kwa miaka kadhaa. Tofautisha nyadhifa za kisiasa na kiserikali. Aibu sana hii
Hivi fisadi aliyenunua mv Darisalama atafikishwa lini kwenye Mahakama ya mafisadi...? Nauliza tuyaani hapa ukawa ,wanapishana kwenda chooni,ni wanaharisha vibaya mno.CCM inakwenda kuwa mpya na atasafisha mafisadi wote,wananchi wanarudisha matumaini yao kwa CCM sasa,UKawa inazikwa kesho rasmi.
Na hajasema kuwa ilikuwaje akafukuzwa seminary na kwenda kumalizia mtaani.....Kwanini shule ya msingi amesoma miaka 8??Nauliza tuu,au kipindi Hicho ilikuwa Unasoma Mpaka std 8?au shule alosoma Ndio yenye Huo mfumo,,nielewesheni
Hivi kipindi hicho system ya kurudia darasa LA nne ilikuwepo?? Sina Nia mbaya,nnauliza tuu??Na hajasema kuwa ilikuwaje akafukuzwa seminary na kwenda kumalizia mtaani.....