Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

Lowassa alirudisha kadi ya CCM?

Habari!

Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!
[/QUOT
Kaka akili yako inakiwango kizuri cha ufatiliaji wa majibu kweli?nina mashaka na wewe. Mzee wangu Slaa niliekuwa ninamuheshimu sana ambae nilikuwa ninamfananisha ki tabia na Baba yangu mzazi ki mfumo mzee D. Mwaipaja alitoa majibu yote pale Serena Hotel alivyo alikwa na ccm wenzake alitolea maelezo kuhusu kadi ya chama baada ya kuama chama kingine mpaka akatolea mf wa ndoa.hivyo post yko cheleweshi imekosa uzoto wa maana.
 
Habari!

Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!

Kwani Dr. Slaa alivyotoka CCM na kuhamia CHADEMA kadi yake alirudisha???

Ile ni mali yake,ana uhamuzi wa kuirudisha,kuichoma moto,kuichana au kubaki nayo.
 
Habari!

Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!

Aliichoma moto
 
Tatizo la vijana wa ccm nikuto kuelewa nini na wakatigani wanatakiwa wafanye nn...
 
uanachama unaisha anaporejesha kadi na kuacha kulipia ada na kuacha kujihusisha kabisa na mambo ya chamaaa.
akifanya hayo atabaki kuwa follower not member
 
Habari!

Jamani nauliza LOWASSA alirudisha kadi ya CCM wakati anajiunga CHADEMA? Nauliza kwasababu kiutaratibu huwa mtu hurudisha kadi ya chama anachokihama kisha kukabidhiwa ya chama kipya. Lakini hili sikuliona wakati LOWASSA anajiunga CHADEMA au ndio kusema kwasababu ameinunua CHADEMA hakuna sababu ya kurudisha kadi ya CCM!
Anza kumuuliza kwanza
1:Mwampamba
2:shonza
3:Arfi
Je walirudisha kadi za cdm?
 
Back
Top Bottom