Recent content by Michael MC

  1. Michael MC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelazimika ku update majina yaliyopo kwenye contact list yangu

    Afadhali umetukumbusha mkuu, maana hiki ni kitu muhimu sana
  2. Michael MC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umbali umeniachanisha na Mchumba wangu

    Pole sana kiongozi. Hilo neno alilotumia sio zuri kwa afya ya mahusiano. Yani ni bora mtu asipokee simu kuliko kukwambia hivyo!.
  3. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Dstv washusha vifurushi sasa ni Tsh 9,000 DSTV Poa

    Nimeipenda tu Ze comedy huko DSTV
  4. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

    Nimejarbu kuwasha VPN ila Bado tu. But social Network zngne poa tu
  5. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Nina miaka zaidi ya 40, sina hata kibanda -- bado napanga

    Adsense watamu sio
  6. Michael MC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa hata mimi nlishangaa...kwa Mfanyakazi wa Shirika kubwa kama Hili?

    Hahaha we jamaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Michael MC

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni uchafu huu mwilini unakera wanaume

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyara za serikali eti
  8. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Nauza website

    Kwahiyo unauza contents si ndo nia yako.?
  9. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Msaada-Watoto wetu(ndugu)wametiana mimba

    Inaonyesha huwa mnawabania sana wasitoke nje ..Geti kali ...matokeo ndo hayo ...Ila vumilieni tu
  10. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Jambo hili ni Udhibitisho tosha kabisa Taifa Stars bado haipo Tayari Kushindana AFCON

    Jamaa umeandika uchungu mtupu
  11. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

    Niliskia kuwa wabunge huko china walikua wanahamasisha raia zao kutumia devices za huawei tu na sio nyingine .... yani wntaka kila raia atumie huawei tu.. na sio iphone . Sasa inakuaje wao wanareact sanaaa
  12. Michael MC

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Kwahiyo inamaanisha hawana mahala pa kuswalia kama ndo hivo siku zote wanaswalia wapi?... Ndo maana huwa kuna vyuo vya kidini. Hicho sio chuo cha kidini kwahiyo mjitegemee wakati wa kuswali na kusali Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom