Umeongea kiufundi zaidi na sio kishabiki, kiufupi simba haihitaji usajili mkubwa sana zaidi ya kuboresha maeneo ambayo msimu ulioisha tulifeli ambao ni eneo la kiungo na eneo la ushambuliaji ambao binafsi naona wameshafanyia kazi katika usajiri
Hio yote kuto kuijua kweli na kutofahamu fumbo za shetani kushinda kanisani sio kufanya vita na nguvu za kichawi cha muhimu ni kushindana na kupambana na shetani na wapenda kazi wake
Mkuu nyingine ni siri za ufalme wa mbinguni na muumba wa unavyoviona na usivyoweza kuviona kwa macho ya nyama,muhimu amini kuwa yupo ili hata usipomkuta ubaki kuwa salama.
Soma hayo maandiko waliyoweka hapo ambayo muandishi anasema ametoa kwenye vitabu viwili vya manabii wakubwa wa mungu Daniel,na Paul harafu fikiria ni kiumbe gani alikua anazungumziwa hapo zaidi ya malaika? Maana tunafahamu kwamba Manabii walikuwa wanamuomba mungu lakini majibu yao walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.