Recent content by Michael Chairman

  1. Michael Chairman

    Mbinu rahisi za kuongea na Rais Magufuli.

    Mazungumzo magumu si jambo rahisi , moja ya jambo linalowatatiza wengi sana kwenye maisha ya kila siku na kama hauna mbinu dhidi ya mazungumzo magumu yanaweza yasikuache salama kihisia na kiakili, nchini kwetu kwa sasa tunaye Rais ambaye utashi wake mkubwa ni kuona mambo yanakwenda na kama kuna...
  2. Michael Chairman

    Chato kuwa Gemba ya nchi kwani kuna ubaya gani?

    Wajapani ni moja ya nchi ya watu wanaochapa kazi sana, na utamaduni wao huu wa kuchapa kazi imewasaidia sana kupaa vileleni mwa nchi zenye uchumi bora na magunduzi mengi katika safari za kimafanikio, moja ya eneo ambalo wajapani wanalipatia uzito sana kwenye kazi ama maeneo ya kazi ni mahali...
  3. Michael Chairman

    Mrejesho wa mafunzo ya Meditation na Yoga kwa Mwanza jana.

    Jana zoezi lilikwenda vyema pamoja na changamoto ya watu wengi kutokufahamu ,dhana hii mpya lakini tumekbaliana kuendelea kuwaamsha walio lala zaidi na zaidi , shukrani sana kwa Guru Kinabo , Angela Adolf pamoja na washiriki wote walioanza mwanzo mpaka mwisho , pamoja na Mwal Reiner Charles...
  4. Michael Chairman

    Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

  5. Michael Chairman

    Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

    WANAKARIBISHWA UKITUSAIDIA KUWAJULISHA TUTAFURAHI SANA
  6. Michael Chairman

    Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

    Huenda isiwe hiyo ama ikawa hiyo karibu sana nawe
  7. Michael Chairman

    Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

    kanuni isiyochakaa kuhusu maisha inasema kila zama na kila utawala kuna wanaoneemeka na wanaoteseka na mwisho (maisha ni mateso na mateso hayawezi kuondolewa na akili za kawaida ambazo haziwezi kutulizwa na kutafakari kwa kina namna ya kuondosha mateso..... Karibu sana nawe mpendwa
  8. Michael Chairman

    Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

    beba msosi kama unaweza , njoo na mto mdogo itapendeza sana
  9. Michael Chairman

    CAG:- Benki ya Posta ilitumia Million 495 kuchapa nembo

    msome CAG upya kakuambia kampuni ya awali ilikuwa na uzoefu wa kazi husika
  10. Michael Chairman

    Mafunzo ya Meditation na Yoga Mwanza weekend hii Royal sunset campsite

    Kwa mara nyingine Light and sound meditation Africa ,Inakuletea mafunzo ya kiroho jijini Mwanza yatakayofanyika kwa siku mbili yaani jumamosi na Jumapili 13/14 /4 /2019 kuanzia saa tatu asubuhi ,Maeneo tulivu ya Royal sunset campsite beach Malimbe Luchelele. Unakaribishwa wewe na familia yako na...
  11. Michael Chairman

    Zifahamu athari za kucheza kamari! Tafadhali chukua hatua

    naona serikalia kupitia shehe wamesitisha matangazo ya michezo hii
  12. Michael Chairman

    Hakuna kitu kibaya Kama umaskini

    wapo wengi tu tena wengi kuliko walio na malengo
Back
Top Bottom