Recent content by Mibas

  1. Mibas

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya benki ya CRDB ni unyanga'nyi wa peza za watu

    Labda wamepunguza viwango vya makato maana walikua wanakatisha tamaa.
  2. Mibas

    JamiiForums Tanzania Hiki wanachofanya benki ya CRDB ni unyanga'nyi wa peza za watu

    Sitasahau siku nilipotoa pesa kwa ATM kwa kutumia Tembocard yao nilitoa Rand 4000 ilikua kama Sh563000 kuanagalia statement nikakuta wamenikaya Sh73,000. Wakat NCBA wanakata kama Sh 22,000 hivi.
  3. Mibas

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Iran imetia umakini kulipua raia wakati Marekani na Israel wanalenga zaidi silaha, viongozi, viwanda vya silaha, rada, meli za vita, n.k?

    Wewe aidha hufuatilii kina hotokea katika vita hii ya uvamizi dhidi ya Irani ama una ushabiki tu waa upande mmoja. Mpaka leo US na Israel wameshaua raia wa Iran karibu 1500. Siku ya kwanza kabisa walianza kuua watoto wa shule 170. Alafu unaleta hutaji ni raia wangapi waluouwawa huko Israel!
  4. Mibas

    JamiiForums Tanzania Iran na Israel zinapigana bila kujali wala kuheshimu Ramadhani na Kwaresma. Mwafrika uliyeletewa dini, unafunga na kushinda njaa

    Israel na Marekani wanaishambulia Iran kwa hio haina budi kujilinda kwa kupigana. Israel sio taifa la kikristu kwa hio hawaiheshimu kwaresma.
  5. Mibas

    JamiiForums Tanzania Kuhusu cheo cha Mufti na Ayatollah

    Hapana ndugu, wako ma Ayatullah wengu hata nje ya Iran. Ayatullah ni daraja la kisomi mtu anafikia kwa kusoma kama vile mtu anafikia kua Daktari wa falsafa. Mfano kuna waliopo India, Lebano au Itaq
  6. Mibas

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kiongozi mkuu mpya Alireza Arafi wa Iran ameuawa

  7. Mibas

    JamiiForums Tanzania Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Hela imeshaenda benki bro. Utapata msg anytime
  8. Mibas

    JamiiForums Tanzania Naweza kulipwa hela yangu yote NSSF?

    Subiri kabla mwezi huu haujaisha utapata message ya benki. Hilo halitazuia kulipwa hela yako yote
  9. Mibas

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

    Fanya kati ya nchi jirani na Tanzania hio 1M unapata kwa wiki.
  10. Mibas

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Hao wanaokutuhumu wanasema ni kwa nini wanakuhusisha na tuhuma hizo?
  11. Mibas

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ndugai huna chako Jimbo la Kongwa, Hersi Said wa Yanga ni Mbunge ajae Kongwa

    Na akafa kwa Presha kweli, utabiri wako ai mchezo
  12. Mibas

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea nyuma ya huu ufaulu wa kushangaza wa kidato cha sita?

    Hao hata wakimaliza chuo hawaajiriki kimataifa uwezo wao hua ni mdogo sana.
  13. Mibas

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya Tunduma

    Kwa hio custom ya sasa itabidi uibomoweau utaitanua tu? Na vipi wazambia wataweza kuhudumia magari yaliopita hivo kwa mpigo? Wazo la kujenga ukuta wa 50km achana nalo binafsi litaniumiza sana. Zingatia ushauri wangu mimi Mpiga kura wako.
Back
Top Bottom