Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,125
- 6,141
- Thread starter
- #21
Kutakuwa na zoning kwenye mji wa Tunduma
Wenzio wanabomoa kuta wewe unawaza kujenga kuta,polisi,uhamiaji na jeshi Wana kazi Gani mpaka uanze kujenga kuta,unarudi nyuma badala ya kwenda mbeleTunduma ni border kubwa kwa Tanzania hili halina ubishi ila changamoto kubwa ya Tunduma iko-disorganized sana ni chaos hii hali haitakiwi kuendelea hata kidogo
Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma ntayafanya nikiwa Rais wa Tanzania
Naamini haya mabadiliko yatakuwa na tija na faida kwa nchi
- Barabara kuanzia vwawa mpaka tunduma zitajengwa Lane 8 (mbili za malori kwenda na mbili za magari ya kawaida kwenda, na mbili za malori kurudi na mbili za mabus ya kawaida
- Mji utapimwa kisasa
- Maji kwa matumizi ya binadamu yatakuwa ya uhakika na masafi tufahamu tunduma inachangamoto ya kipindupindu
- Kwenye custom kutakuwa na mageti 20 kwa mda mmoja yatakuwa yanahudumia magari ili kupunguza mda wa magari kusubiria kwenye foleni
- Mji utakuwa na zoning unavurugu sana
- Kutajengwa ukuta wa km 50 ili kudhibiti biashara za magendo ambazo zinaipotezea serikali mapato
- Kwenye maeneo ya mji kutapigwa paving ili kusiwe na kero ya vumbi ambayo ni moja ya changamoto kubwa ya Tunduma
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Ukuta utazuia magendo mengi sana ambayo yanaipotezea serikali mapato yakeWenzio wanabomoa kuta wewe unawaza kujenga kuta,polisi,uhamiaji na jeshi Wana kazi Gani mpaka uanze kujenga kuta,unarudi nyuma badala ya kwenda mbele
Yaani very rough......Ni vurugu kwa kwenda mbele mji uko rough sana
Ukweli ni kwamba viongozi waliopo madarakani ni kama wameshindwa kusimamia mipango mijiYaani very rough......
Ukitotokea Mbeya kama unaingia mjini ndo unaweza kuona jinsi mji ulivyokaa hovyo hovyo......
Sijui mipango miji wako wapi pale 😂😂😂
Kwa kitengo hiki kwa kweli wamefeli..... Mfano mzuri ni katika mji huu..... Ni unplanned kabisa 😂😂Ukweli ni kwamba viongozi waliopo madarakani ni kama wameshindwa kusimamia mipango miji
Na hakuna jitihada zozote za kukabiliana na tatizoKwa kitengo hiki kwa kweli wamefeli..... Mfano mzuri ni katika mji huu..... Ni unplanned kabisa 😂😂
Kwa hio custom ya sasa itabidi uibomoweau utaitanua tu? Na vipi wazambia wataweza kuhudumia magari yaliopita hivo kwa mpigo?Kwenye custom kutakuwa na mageti 20 kwa mda mmoja yatakuwa yanahudumia magari ili kupunguza mda wa magari kusubiria kwenye foleni
Tunduma ni border kubwa kwa Tanzania hili halina ubishi ila changamoto kubwa ya Tunduma iko-disorganized sana ni chaos hii hali haitakiwi kuendelea hata kidogo
Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma ntayafanya nikiwa Rais wa Tanzania
Naamini haya mabadiliko yatakuwa na tija na faida kwa nchi
- Barabara kuanzia vwawa mpaka tunduma zitajengwa Lane 8 (mbili za malori kwenda na mbili za magari ya kawaida kwenda, na mbili za malori kurudi na mbili za mabus ya kawaida
- Mji utapimwa kisasa
- Maji kwa matumizi ya binadamu yatakuwa ya uhakika na masafi tufahamu tunduma inachangamoto ya kipindupindu
- Kwenye custom kutakuwa na mageti 20 kwa mda mmoja yatakuwa yanahudumia magari ili kupunguza mda wa magari kusubiria kwenye foleni
- Mji utakuwa na zoning unavurugu sana
- Kutajengwa ukuta wa km 50 ili kudhibiti biashara za magendo ambazo zinaipotezea serikali mapato
- Kwenye maeneo ya mji kutapigwa paving ili kusiwe na kero ya vumbi ambayo ni moja ya changamoto kubwa ya Tunduma
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Ni kweli maana Kila siku nyumba zinaota kama uyoga,.. na zinajengwa Kila mtu anavyoona inafaa.... Very unorganizedNa hakuna jitihada zozote za kukabiliana na tatizo
Kutajengwa ukuta wa km 50 (km 25 upande wa kaskazini na km 25 upañde wa kusini) ili kudhibiti biashara za magendo ambazo zinaipotezea serikali mapat
Njia zote zinazuiliwaLabda huijui Tunduma na jinsi magendo yanavyopita,magendo yanapita kwenye mfumo,magendo ya kufukuzana watu waliacha ni mwendo wa au basi