Recent content by miamiatz

  1. miamiatz

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Walemavu Tanzania - Mapendekezo ya Uboreshaji wake kwa Kutumia Mkoa wa Dar es Salaam kama Mfano

    Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
  2. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Iwapo AI inaweza kusolve captchas, je nini kitatumika kubainisha bots kwenye tovuti

    AI imeendelea kuthibitisha kuwa inaweza kuona picha, kufanya hesabu, na kadhalika. Mifumo mingi ya captchas hutegemea picha, hesabu, herufi na sauti kucheki kama mtumiaji ni bot au binadamu. Kuna wasiwasi kuwa spammers nao wameanza kutengeneza bots zinazotumia AI kufanya utambuzi wa picha...
  3. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Kila biashara ina KSF zake boss kama zinapelea kimbia. Kwa sisi tuliopo kwenye biashara miaka mingi nikikaa nawewe wiki tu nishajua biashara gani utatoboa na gani utafeli. Mfano kuna biashara ambazo pesa kubwa ndio KSF, kuna nyengine connection, kuna nyengine exposure, kuna nyengine bidii, etc...
  4. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Dah nilitaka kushangaa huo muda wa kuandika haya yote kumbe AI [emoji3][emoji3][emoji3]
  5. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni masikini usicheze mbali na hizi course

    Ila bado kuna walimu na madaktari maelfu hawana kazi. I think kuna mambo mengi zaidi ya kutilia maanani.
  6. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    Google wana experience ya muda mrefu ya translation kupitia google translate. Vita ya AI kama itapiganwa kati ya google na microsoft basi google mapema atashinda mana microsoft ni wahafidhina sana. Sababu kuu ni kwamba google wana database kubwa zaidi ya personal data. Imagine emails zote...
  7. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Upo sahihi security ya simu inatofautiana. So kuna ambazo ni ngumu sana kudukua na ambazo nyepesi. Android nyingi zinakuwaga nyepesi kasoro baadhi ya samsung galaxy kama s20, etc. Iphone ngumu kiasi ila blackbery ngumu sana mana zina encrypt hadi audio signals.
  8. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Nikupe story moja. Kuna mu israel alitest kudukua simu kwa kutumia audio signals tu. Na research paper yake ipo mitandaoni. Alivuma sana. Kuna technique inaitwa Audio Frequency-Shift Keying (A-FSK). Hii hata nokia ya tochi inahakiwa. Hii inaweza kutransmit audio, text na numeric data kwenda...
  9. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Udukuzi wake ni mgumu sana ila inadukulika kwa ku intercept mawasiliano.
  10. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

    Sio kwamba walimu hamna ni kwamba walimu wapo mitaani wamehitimu ajira hakuna serekali haina uwezo wa kuajiri walimu wa kutosha.
  11. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

    Hata kama, unajua shule nyingi zina uhaba wa walimu? Pitia BEST statistics utaona kuna shida kubwa sana kwenye ratio za qualified teacher per pupil.
  12. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

    Wanatamani wafute ila wanawaza walimu wa mitaala mipya watawatoa wapi
  13. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

    Halafu hao watoto wanaokaririshwa miji sasahivi ndio watakuja kuwa walimu wa watoto na wajukuu zetu
  14. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

    Mkuu unapopanic jitahidi kuepuka hii mambo ya KE. Ni dharau kwa mama zetu aisee. Mi mtu akimzarau mama yangu hata awe nani nashuka nae.
  15. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Roboti wa Tanzania kaniacha hoi!

    Tena sio kidogo.
Back
Top Bottom