Recent content by MIAMIA.

  1. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilia kati dhuluma ya Ethiopian Airlines

    Mkuu airlines nyingine zote katika route za china wameweka for the meantime wameweka open ticket sio kitu kigeni (sio abiria wala sio airline husika ilioleta ugonjwa). So mazingira ya biashara na safari ndio yanaongoza kwa sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilia kati dhuluma ya Ethiopian Airlines

    Mkuu nikufahamishe kitu; fanya umetoa io 600k iliubadilishe tarehe nyingine; Je unafahamu io corona inaisha lini? Corona aijapiga simu kusema taisha tarehe fulani hivyo kata ticket ya kuanzia siku fulani; maana utalipia na kusema unasafiri labda March katikati; itakuaje ikifika March katikati na...
  3. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Serikali ingilia kati dhuluma ya Ethiopian Airlines

    Habari Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza; mamlaka ya ndege nchini Tanzania na mamlaka nyingine zinazohusika na ili nchini Tanzania. Kifupi ni waTanzania wengi na mimi nikiwa mmoja wapo; tuliokuwa tumekata ticket zetu kwa safari za kwenda nchini china kuanzia katikati ya mwezi wa mbili na...
  4. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Viwanja na Mashamba. Tupo Dar

    Namba zako naomba tuongee
  5. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Swali langu kwenu waendesha private car kwenda Mikoani

    CONTROLA Salaam Mkuu Hii ni kwako na kwa wengine wote wenye hulka yakutoa funzo au maonyo au maangalizo juu ya jambo fulani. Mosi msingi mkuu wa kabla kutoa maoni jipe nafasi ya kujifunza jambo husika io itakupa nafasi ya wewe kuwa na uelewa mpana yani kuwa na taarifa zaidi juu ya jambo...
  6. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    10+10+10=30 10+5+5=20 5+4+4=13 10+[5*2]=20 Jibu ni 20
  7. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu Bankok, je itafanya kazi Tanzania

    kikubwa utajuaje simu ipo unlocked kwa matumizi ya Africa (EA)?
  8. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu Bankok, je itafanya kazi Tanzania

    Ujuaji hauta kusaidia mkuu...usichojua uliza,sio kila simu ipo unlocked,na muuzaji eote ili auze anakujibu ipo unlocked,hii sio case moja wala mbili
  9. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu Bankok, je itafanya kazi Tanzania

    Mambo wakuu? Mwenye uelewa wa ili swala wakuu,msaada kwenye tuta, naona kuna simu kali sana, lakini napata shaka nikununua nikirudi TZ je itafanya kazi? Au ninunue simu yenye sifa zipi ambazo uweza kufanya kazi TZ? Maana imewahi mtokea jamaa yangu alinunua China kurudi Dar ikawa haisomi...
  10. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hapa kazi tu
  11. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Kamalizia Monduli leo mtumishi, taifa hakuwepo
  12. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Hakika...Edward Lowassa ni mfano bora
  13. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Nchi za East Afrika aliyempongeza Magufuli

    Mkuu, binafsi nimemuona Odinga tu....sio wakuu wa nchi
  14. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

    Nakubaliana na ulichozungumza mkuu, neno kwa neno!
  15. MIAMIA.

    JamiiForums Tanzania Kafulila kutinga mahakamani kutetea ushindi wake!

    Ina umiza sana mkuu! Nchi hii msema kweli hatakiwi
Back
Top Bottom