Nataka kununua simu Bankok, je itafanya kazi Tanzania

MIAMIA.

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
210
82
Mambo wakuu?

Mwenye uelewa wa ili swala wakuu,msaada kwenye tuta, naona kuna simu kali sana, lakini napata shaka nikununua nikirudi TZ je itafanya kazi? Au ninunue simu yenye sifa zipi ambazo uweza kufanya kazi TZ? Maana imewahi mtokea jamaa yangu alinunua China kurudi Dar ikawa haisomi nertwork zetu, msaada please.

TATAMBUAJE SIMU NI UNLOCKED?
 
Kwn hizi zote tunazotumia ni made in Tangayika?
Ujuaji hauta kusaidia mkuu...usichojua uliza,sio kila simu ipo unlocked,na muuzaji eote ili auze anakujibu ipo unlocked,hii sio case moja wala mbili
 
kikubwa utajuaje simu ipo unlocked kwa matumizi ya Africa (EA)?
 
Mkuu nunua tu,ukifika Bongo kuna wataalam watai fungua hata kama itakuwa imefungwa,ni kazi ndogo sana hiyo,lakini ununue Simu original Mkuu.
 
Back
Top Bottom