Recent content by Mhojan

  1. Mhojan

    JamiiForums Tanzania SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUSOMA "DEGREE" BILA KUPITA "FORM SIX".

    Uhariri vizuri uonekane ni wa 2016 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mhojan

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

    Kuwana imani na ukiwashwa usijikune Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mhojan

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine wana ifahamu hii theory?

    Tatizo huna imani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mhojan

    JamiiForums Tanzania SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUSOMA "DEGREE" BILA KUPITA "FORM SIX".

    Ujue wemtoa mada unaletamiyayusho, Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mhojan

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kazi inasemaje kuhusu mtumishi kusitisha utumishi wake kwa hiari.

    Habari wana JF, napenda kufahamu ni athari gani zitampata mtumishi wa umma kuacha kazi hata kabla ya kudhibishwa kazini?. Mimi ni mwajiriwa mpya na kwa bahati nzuri au mbaya nimeitwa kufanya kazi katika shirika lisilo la kiserikali na watanilipata mshahara mara dufu zaidi ya ninopata huku...
  6. Mhojan

    JamiiForums Tanzania Papa afikiria kuruhusu mapadri waoe

    U Unakuta huyo mwumini mwenye msimamomkali anamwenzi sasa huu si uchoyo jamani
  7. Mhojan

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

    Mzee alikuwa anaamini kama waliosema ndiooooo kule bungeni ni wa kwa mjomba, sasa hapa anapapase macho. Isitoshe hawa watu sidhani kama wanatolea macho sana vijisenti vya kuchukua uzeeni. Wanapiga mpunga wakutosha angali meno iko.
  8. Mhojan

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi kwa kada ya afya pekee

    Habari wana JF, natafuta wakubadilishana vituo ya kazi wilaya yoyote mkoani Kilimanjaro Cheo RN nipo KONDOA MJI.
Back
Top Bottom