Recent content by mhimidinhothedon

  1. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Chidi benzi karudia matumizi ya madawa ya kulevya

    Ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ucheze
  2. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Nabii Frank Kilawah acha kudanganya watu

    Mjanja mjanja afu anapiga pesa kinyama. Ukiwa na akili za kawaida tu utajua jamaa ni fekero
  3. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Joh Makini Hii Perfect Kombo Vipi?

    Sampling ya hatari, melody beats mmmh
  4. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Shilole aamua kumtafuta 'Ticha' wa Kumfundisha Kimombo

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz aweka record mpya

    Music industry ni kiwanda pia
  6. mhimidinhothedon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

    Word
  7. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Diamond na kitu cheusi mkononi..

    Pawa benki
  8. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Aiyola - Harmonize, Kipaji kipya

    Nadhan aache kuiga kila kitu toka kwa diamond
  9. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Hivi kila mtu anaweza kuwakilisha wengine?

    Nimekaa na kujiuliza kuhusiana na hili wimbi la watangaza nia katika nafasi mbali mbali. Nimekuja kupata majibu tatanishi kama kupunuka kwa wigo wa demokrasia, uchu wa madaraka, kutokujali uwezo na sifa za mtu kuwa kiongozi na pia kutumia haki ya kikatiba ya kuchaguliwa kuongoza. Sababu ya...
  10. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Ni kutokujua au??

    Usanii mpk kwny vitu vya maana ndo madhara yake
  11. mhimidinhothedon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

    Bado yupo yupo kwanza mpaka achukue tuzo nyingine kama hii labda anaweza akarudi
  12. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Ukitaka kumficha mtanganyika kitu, kiweke kwenye maandishi! Inawezekana haka kamsemo kana ukweli. Watu wanabisha wakati hawana taarifa coz hawasomi. Af still unajiita msomi elimu yenyewe tunasoma historia. Kuna watu hawajaumbwa kukaa kimya na kujifunza akyamungu
  13. mhimidinhothedon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

    A deserved winner CR7 Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  14. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo lolote ktk picha hii?

    Naona kama wazee wa kazi wamepiga mbonji hivi Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  15. mhimidinhothedon

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

    Mimi nadhani hoja ya mkuu ni kuwa administration inafanya kutengeneza public sympathy
Back
Top Bottom