Recent content by mhhhhh

  1. M

    JamiiForums Tanzania Weka hapa nukuu kutoka kwa viongozi wa Vyama vya Upinzani

    Unaonekana kudandia mambo usiyoyajua kwa kukana hiyo kauli sio ya Lowasa, rudi kawaulize wenzio tena
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya nae biashara

    Weka mawasiliano hapa kila mmoja aone
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kukopa trilioni 2.1 kutekeleza bajeti ya 2016/17

    Ipo siku kila pande za sayari hii zitatambua hali mbaya ya watanzania maskini wanaokosa hata mlo mmoja kwa siku, wanaoshuhudia kupanda kwa bei za bidhaa muhimu, wanaokabiliwa na majanga kama matetemeko bila kujaliwa na serekali yao walioichagua, ukame, ukosefu wa madawa mahospitalini, wanafunzi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tufunzane kuhusu ununuzi wa Hisa

    Njooni mtupe darasa wajuvi wa mambo haya jamani
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Anna Senkoro, mwanamke wa kwanza kugombea Urais nchini Tanzania(2005), afariki dunia

    Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amen
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi TANESCO wasimamishwa kazi, mmoja ajiuzulu!

    Uko sahihi sana mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Process ili utambulike na "TFDA" kama mzalishaji wa vyakula anaefahamu , anisaidie !!!

    Ngoja wataalamu wa haya mambo waje
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pride Tanzania Yazidi Kuimarika, Sasa Inatoa Mikopo Binafsi Hadi Milioni 50!.

    Hivi hawa jamaa wapo Dodoma na watoa mikopo kwa watu wa aina gani kivigezo? Tujuze tafadhali mkuu
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilifanya Mapenzi Na Maiti 20 Nitajirike – sehemu ya 1

    Mbona hamna muendelezo?!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Elimu bure ina uelekeo chanya?

    Mleta mada acha kutupotezea muda maana unauliza swali ambalo jipu lake unalo!
  11. M

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Tuweni na imani hamna kizuri kipatikanacho bila jasho na hili ndilo jasho tunalotoka kuelekea nchi ya viwanda
  12. M

    JamiiForums Tanzania My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    Kwa taarifa yako kilaza ni yule mwenye first class but hajui atumie muda na fursa zinazomzunguka kuboresha maisha yake na ya wanaomzunguka anaishia kupiga majungu na nonsense kama wewe. Idiot!
  13. M

    JamiiForums Tanzania My little story with Makonda about leadership, kwa faida ya wasiokujua

    Naunga mkono hoja
  14. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa awasili wilayani Chemba kwenye ziara ya kikazi

    Congrats Mr Lowasa
Back
Top Bottom