Tufunzane kuhusu ununuzi wa Hisa

Ngoja wataalam wa hizi mambo waje, uzuri wa JF unaweza kusoma kitu walichosoma wenzako semister nzima lkn wewe ukakielewa kwa post moja tu, lkn kama vilevile utapenda kuelewa hii mambo offline basi nakushauri tembelea Golden Jubilee Tower Posta kuna wadau wanaitwa orbit security watajibu maswali yako kwa ufasaha kabisa
 
Pitia Tovuti ya Soko la Mitaji la Dar (www.dse.co.tz) na pia Mamlaka ya dhamana za serikali (Capital Markets and Securities Authority--CMSA) Kwanza.Baada ya hapo tembelea Wakala yeyote wa Soko la Mitaji,orodha na mawasiliano yapo kwenye Tovuti ya DSE.
 
Back
Top Bottom