Recent content by Mhere Mwita

  1. Mhere Mwita

    Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

    Kwa niaba ya chadema wilaya ya Geita ninalaani kitendo cha vijana wa ccm kuandaliwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ili wamfanyie fujo mgombea wetu wa urais Mhe Tundu Lissu, alipokuwa kwenye ratiba yake ya kampeni katika wilaya ya Geita Tarehe 23 Jimbo la Busanda na Tarehe 24 Jimbo la Geita na...
  2. Mhere Mwita

    DC Tarime azuia Mashindano ya Mbunge Esther Matiko, Bukombe na Babati yaendelea

    Tusome UZI tafadhali. MKUU WA WILAYA TARIME anazuia mashindano ya #EstherMatikoRisingStar Mkuu wa wilaya ya Tarime, Charles Kabeho amezuia mashindano ya kuibua vipaji #EstherMatikoRisingStar yanayoandaliwa na ofisi ya mbunge Tarime Mjini Mh: Esther Matiko akitoa sababu mbili kwa wakati...
  3. Mhere Mwita

    Prince Rwazo: Waziri Bashungwa hajafanya chochote jimboni Karagwe

    USHAURI WANGU MFUPI NA MASWALI YA KUJIULIZA KWA MBUNGE WA KARAGWE NA WAZIRI MPYA WA VIWANDA NA BIASHARA NDG.INNOCENT LIGHA BASHUNGWA!! Wapendwa na marafiki wanaKaragwe na waTanzania kiujumla, mimi kama mwanaKaragwe,mdau wa elimu na maendeleo, nimekuwa nikimfuatilia Ndugu mbunge baadaye naibu...
  4. Mhere Mwita

    Askofu amlima barua Magufuli. Asikitishwa Watoto kupigwa mabomu kikao cha BAWACHA Bariadi

    MHESHIMIWA RAIS, NIMESHITUSHWA NA KITENDO CHA WANAWAKE WA CHADEMA KUPIGWA MABOMU KULE BARIADI MKOANI SIMIYU! Mheshimiwa Dkt. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pokea salaam za upendo kutoka kwangu mimi niliye mtumishi mdogo miongoni mwa Maaskofu wa Kanisa la Mungu hapa...
  5. Mhere Mwita

    Mbunge awachapa makonde na Matama Leo Misri wakisubiri AFCON

    Mbunge wa jimbo la Singida Magharibi kwa kupitia chama cha mapinduzi Ndugu Elibariki Emmanuel Kingu Leo amepigana na mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar katika jimbo la Mfenesini Ndugu Othman Said Machano Cairo Misri. Fedhehea hiyo ya nchi imetokea katika hoteli ya Radisson mjini Cairo...
  6. Mhere Mwita

    Geita: Mama amuua mtoto wa kumzaa na kumpika kama mboga

    Na Victor Bariety Katika hali inayositaajabisha na kuacha maswali mengi, mwanamke mmoja mkazi wa Kitongoji cha CCM,Kijiji cha Buligi Kata ya Senga Wilayani Geita, Happnes Shadrack (36), anayedaiwa ni mgonjwa wa akili, amemuuwa mwanaye wa kumzaa, Martha Yakobo (1), kwa kumkatakata vipande...
  7. Mhere Mwita

    Lumumba msitulazimishe tujadili Rais kaenda sokoni na kikapu sisi tunajadili, Pato la Taifa, SGR na Gasi ya Mtwara.

    Kwa akili ya vijana ya Lumumba wanapenda nchi nzima tujadili Rais kaenda sokoni na kikapu, kaenda kuvywa kahawa Ferry kagawa mapapai Mbagala, Hatuwezi taifa zima kujidili vitu ambavyo vinavyofanywa na rais ambavyo havina manufaa kwa taifa (Not for public interest) Tuache kujadili kuhusu hotuba...
  8. Mhere Mwita

    Jesca Kishoa: Gesi yote inayopatikana Mtwara inakwenda kumilikiwa na China na Bomba la Gesi lenyewe

    Mheshimiwa Naibu spika Moja ya sababu kubwa Mheshimiwa Naibu spika ya watu wengi kushindwa kununua Gesi TPDC Moja ya sababu ni kwamba Gharama ya Ujazo wa Bomba ni kubwa sana na kuna taarifa kwa sababu mambo yao wanashindwa kuyaweka wazi kuna taarifa inasemekana kwamba, Gharama halisi ya ya bomba...
  9. Mhere Mwita

    Esther Bulaya Bungeni: "vijiji 54, tayari vina umeme wa REA lakini wakandarasi wamelipwa tena waende wakaweke umeme Huu ni wizi"

    HOTUBA YA MBUNGE WA BUNDA MJINI MHE ESTHER AMOS BULAYA LEO BUNGENI JUU YA UFISADI KWENYE UMEME NA KUJIENDESHA KWA HASARA. __________________________________________ Mheshimiwa Mwenyekiti Mimi ni Mbunge wa Awamu ya Pili na Tangu Nimeingia kwenye Bunge hili Serikali ya chama cha mapinduzi...
  10. Mhere Mwita

    Bavicha Geita: Tunajifunza mambo haya maisha na kifo cha Bw Mengi

    Kwani hajawahii kuwa kijana eeh
  11. Mhere Mwita

    Bavicha Geita: Tunajifunza mambo haya maisha na kifo cha Bw Mengi

    Kwa niaba ya baraza la vijana chadema (Bavicha) wilaya ya Geita ninapenda kutoa pole kwa wanafamilia, wa IPP media Limited na Familia ya Reginald Abraham Mengi kwa kuondokewa na Mpendwa wao, Baraza kwa ujumla limepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo chake, maana sote tunatambua kwamba Bw Mengi...
  12. Mhere Mwita

    CHADEMA: Tutaboresha Mazingira ya walimu na mishahara yao

    Chadema kwa kupitia kitabu chao cha Sera Mbadala kinasema kitaboresha mazingira ya kufundishia pamoja na mishahara zao.
  13. Mhere Mwita

    Mosses Misiwa: Wananchi wangu pesa zenu ziko salama

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini Ambae pia ni Diwani wa Kata ya Nyamwaga Bw Moses Misiwa , Akiwa kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata ya Nyamwaga juzi, Diwani huyo alizungumza na wananchi wake na kuwaeleza mipango yake kwa lengo la kuwasukuma wananchi kimaendeleo. Pia...
  14. Mhere Mwita

    Je unafahamu itikadi na falsafa za CCM na CHADEMA na chama kipi chenye itikadi nzuri ?

    Tunapoamua kujiunga na na vyama vya siasa Kuna mambo makuu mawili tunatakiwa kuzingatia Itikadi na Falsafa, hata kwenye Dini Kuna Itikadi na Falsafa zake, kwa ufupi tu nielezee maana ya Itikadi ni jumuiko ya imani ambayo hutumiwa na kikundi Fulani cha siasa au shirika ambazo wanazifuata...
  15. Mhere Mwita

    Je, Mbowe na Magufuli ni yupi kiongozi Bora na Mahiri

    Kuna Methali maarufu, vile vile kuna ukweli fulani katika Msemo huu, "Viongozi Mahiri huzaliwa, na sio kutengenezwa" kwa kiasi Fulani uwezo wa kiongozi Mahiri unazidi kupanuka pale anapokua katika makuzi Bora hapo sasa hujifunza jinsi ya kuwa kiongozi bora zaidi baada ya kila anapata kufahamu...
Back
Top Bottom