CHADEMA: Tutaboresha Mazingira ya walimu na mishahara yao

CHADEMA: Tutaboresha Mazingira ya walimu na mishahara yao

Mhere Mwita

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
235
Reaction score
1,275
Chadema kwa kupitia kitabu chao cha Sera Mbadala kinasema kitaboresha mazingira ya kufundishia pamoja na mishahara zao.
IMG-20190501-WA0426.jpeg
IMG-20190501-WA0429.jpeg
 
Hawa matapeli wa ruzuku na magari ya chama?sumu hailambwi
Nimeamini kweli nyie i**i wa kijani hamnazo, uchafu mnaoufanya wala hamuuoni? Kuhusu hilo gari unalosema mbona lilishatolewa ufafanuzi na hata CAG alipendekeza namna ya kurekebisha?
 
Nimeamini kweli nyie i**i wa kijani hamnazo, uchafu mnaoufanya wala hamuuoni? Kuhusu hilo gari unalosema mbona lilishatolewa ufafanuzi na hata CAG alipendekeza namna ya kurekebisha?
Kamanda jenga hoja bila povu
 
Back
Top Bottom