Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Mheshimiwa Naibu spika Moja ya sababu kubwa Mheshimiwa Naibu spika ya watu wengi kushindwa kununua Gesi TPDC Moja ya sababu ni kwamba Gharama ya Ujazo wa Bomba ni kubwa sana na kuna taarifa kwa sababu mambo yao wanashindwa kuyaweka wazi kuna taarifa inasemekana kwamba, Gharama halisi ya ya bomba ya Gesi na Gharama tunayolipa kuna ziada ya Dola za kimarekani 400 Mheshimiwa Naibu spika.
Sasa kulipa Gharama zote hizi Mheshimiwa Naibu spika hii ndio sababu kubwa inayopelekea mpaka Gharama ya Gesi inakuwa kubwa ninaomba kupitia mbunge lako tukufu Mheshimiwa Naibu spika na hii nitaishikiria shilingi. Serikali iunde team ya wataalamu kwenda kuchunguza Gharama halisi za ya bomba la Gesi, Lakini pia wachunguze mkopo ambao tumepewa kutoka China na Exims bank,
Na Bahati nzuri sana huu mkataba upo vizuri sana, Mkataba unasema hivi ikitokea kwamba Tanzania tumeshindwa kulipa hili Deni tujue kabisa kwamba Gesi yote inayopatikana mtwara inakwenda kumlikiwa na China na Bomba la Gesi lenyewe, na hii haitakuwa ya ajabu kwa sababu hili suala limefanyika Sir Lanka, Limefanyika Zambia kwa hiyo ni muendelezo wa mambo ambayo kama hatuwezi kuwa makini
Tunaweza kujikuta tunapoteza raslimali Muhimu katika taifa hili bomba la Gesi Ambalo linafanya kazi kwa asilimia 6%, ila 94% bomba halitumiki. Sasa huo mkopo wadola mil 1.2 kutoka China tunaulipaje? Mkataba wa Kupewa mkopo ulisema tukishindwa kulipa mkopo tuliokopa basi Gesi yote na bomba vitakuwa controlled na China.