hao ndo cdm hakuna rsources kabisa zaidi ya slaa,zito,mnyika,mdee,lissu, ukirudi kule kwa kina sugu ndo hakuna kitu kabisa mi nazan nw ni wakati wa kujipanga ni namna gani wanabuild skills for the future cz hawawezi kuongoza nchi kwa kuwa na wazir kama sugu au huyo nyerere antegemea hilo jina...