Akienda mahakamani na kesi ikaendeshwa akashinda kwa sababu kesi za vifaa vya kiusalama zinaweza kua limited kwa sababu ya sensitive info. Tutasemaje? Si bora afilisiwe liwe fundisho kwa wezi wengine wanaotuibia kupitia tenderprenuership na wanasiasa wao...
Hata nchi zilizoendelea kodi utumika kama fimbo ya mwisho ya kuwanasa wahalifu au maadui wa sera na serikali wowote wanaonekana watakua wagumu Kuwatia hatiani na kesi nyingine yeyote.
Kitu muhimu ni kuchukua Mali zilizopatikana kwa wizi wa Mali ya umma kwa kudai kodi. Wateme walichotuibia na...
Watakuteka wewe kwa dhihaka hizi.
Unamfanya bwana mkubwa kikaragosi mbele ya watu? Angelia uhuru wako, caricatures siyo nzuri kwa rais "siriasi" kama huyu mkuu
Wawekezaji wanaonekana wa maana lakini siyo wa maana Sana vile vile haswa ukichukulia Tanzania haina any competitive advantage kiuchumi kwenye sekta yeyote ile (labda madini kwa mbali sana), bila hii competitive advantage mwekezaji anakua hana uhakika wa mtaji wake achilia faida atakayopata-kama...
Ni fikra pevu Sana na zinafaa Kuweka changamoto kwa wanazuoni Wetu na wanasiasa wengine na wapika sera wote serikalini.
Nakubaliana na hoja kwamba ccm imechanganyikiwa na kitu gani ikifuate.
Leo Dr magufuli anendesha Vita baridi na vuguvugu na wafanyabiashara haswa pale linapokuja suala la kodi...
Tyranny of numbers...hata brexit kuna watu wameenda mahakamani kuipinga kwa kua walishindwa lakini as they say democracy sometimes isn't fair...kura zimepigwa na watu wameamua ...ongezeni numbers zaidi elections zijazo
Walichofanya wabunge leo ni utoto,upuuzi wa Hali ya juu na Kuonyesha jinsi tusivyo na viongozi makini na wazalendo wa kweli. Mtamshangiliaje mtu aliyeleta matatizo ya kiuchumi haya tuliyonayo, mtamshangiliaje mtu aliyemteua huyu msiyempenda kwa sasa kwa majina yake mfukoni bila kufuata taratibu...
Mnachoshindwa kueleza ni kwamba hiyo cargo hub au depot itakua kwa ajili ya mizigo ya Ethiopian airlines kwa wateja wake wote haswa mashariki na kusini mwa Africa kwa sababu hapa kuna kanafasi kwa kua hatuna effective national airline kama Kenya kwa mfano. Na hapa hatujapiga mahesabu hii sub...
Mimi nikiongea hapa Najua naongea nini chief usinifananishe na hao unaibishana Mara nyingi humu.
Kenya na Ethiopia hawana tatizo lolote kihistoria, kisiasa, wala kijamii, actually wana interest zinazoshabiiana za tatizo la Somalia ambapo wote kwa nyakati tofauti wamepeleka majeshi kujaribu...
Stiglers Gorge project katika bonde rufiji ingetengeneza megawatts zaidi ya 1500 ukijumlisha na current capacity ya hydro electric power generation pamoja na haka ka Gas inayotumika kwa umeme you tungekua self sufficient kwa umeme wa bei rahisi na kuachana na hawa walanguzi wanaotumia generator...
Umeshaweka assumption ya kwamba kila kitu kunapingwa na hapo tayari umechukua upande wa kuutetea. Nway kila project au proposal ya wakubwa itaundwa timu ya wataalam kufuatilia utekelezaji wake na siyo wanasiasa na hapa utaona kama project ita take off. Ngonjera zingine za kisiasa unaziangalia...
Cargo planes hao Ethiopia wanaagiza stationary tu peke yake? Wanadevelop project ya Lapset na Kenya kujenga bandari ya Kimataifa Lamu, Kenya, hata Mombasa tu kwao ni mbali wanatumia Djibouti, Dar wapi na wapi. Hatuko hapa kubishana so usitafute uhalali wa kila tamko la viongozi hawa, angalia...
Ethiopia wamejenga SGR au standard gauge railway kwenda Djibouti kwa sababu ya bandari kule Djibouti baada ya sababu za kidiplomasia na kiusalama kuacha kutumia bandari ya Asmara, Eritrea. Hata bandari ya Mombasa kwao ni tatizo bado na ndiyo maana kuna mpango wa LAPSET wa Ethiopia na Kenya...
Tuwe na upendo na uzalendo kwa taifa, pale mtu anapokua anapogusa Jambo la kimsingi la kitaifa tusimbeze kwa vijisababu uchwara binafsi au vya vyama. Hata kama wewe uko serikalini au chamani, anayofanya huyu Rais wenu yatawarudia tu nyie wenyewe. No one is exempt, sisi wote boti moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.