Zitto: Toka Uhuru rais hajawahi kuteua Kaimu Jaji Mkuu, rais Magufuli amemteua ili awe anamtisha

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Zitto anasikika akihoji dhamira ya uteuzi huo na anasema uteuzi huo wa Kaimu Jaji Mkuu ni moja ya sababu za wao kuangalia uwezekano wa kumuwajibisha Raisi kikatiba.

Zitto anahoji sababu za kuteua Kaimu Jaji Mkuu badala ya Jaji Mkuu kamili ma ameeleza mashaka yake.
 
Anapima upepo kwanza,uwepo WA kaimu jaji Una manufaa kwa Sizonje kuliko akiteua jaji kamili kwa hali ilivyo sasa,mana kwa sasa hata wazee WA mabaka mabaka hawaezi chukua hatua,
 
Zitto anasikika akihoji dhamira ya uteuzi huo na anasema uteuzi huo wa Kaimu Jaji Mkuu ni moja ya sababu za wao kuangalia uwezekano wa kumuwajibisha Raisi kikatiba.

Zitto anahoji sababu za kuteua Kaimu Jaji Mkuu badala ya Jaji Mkuu kamili ma ameeleza mashaka yake.

Kuna ubaya gani
 
Zito naye ni @#$//÷&£¥¥ tu hana la zaidi

Tuwe na upendo na uzalendo kwa taifa, pale mtu anapokua anapogusa Jambo la kimsingi la kitaifa tusimbeze kwa vijisababu uchwara binafsi au vya vyama. Hata kama wewe uko serikalini au chamani, anayofanya huyu Rais wenu yatawarudia tu nyie wenyewe. No one is exempt, sisi wote boti moja ya Tanzania, uzalendo na utaifa Kwanza
 
Back
Top Bottom