Kwanza kabisa nianze kwa kusema kuwa .
Kuwa suala la ufundishaji na ujifunzaji ni suala nyeti sana zaidi ya sana.
Na kama mtu huna taaluma ya masuala ya elimu na ualimu ni ngumu kuelezea bali wengi wataelezea kwa uelewa wa jumla bila kutambua nini wanaelezea.
Wakuu siko hapa kutaja chuo bora ni...
Nina vitabu vya soft copy kuhusu make up kutoka kwa magwiji wa make up duniani ambavyo ukijifunza utapata mwanga tena kitaalamu zaidi na kwa lugha nyepesi kabisa .
Kama uko tayari ni pm nijue nakutumiaje uvipate.
Nina vitabu vya soft copy kuhusu make up kutoka kwa magwiji wa make up duniani ambavyo ukijifunza utapata mwanga tena kitaalamu zaidi na kwa lugha nyepesi kabisa .
Kama uko tayari ni pm nijue nakutumiaje uvipate.
Kwanza kabisa ulichokisema kina ukweli kwa asilimia kubwa sana .
Kwa kiwango kikubwa kwa sasa mziki wa singeri umepotea njia kwa kiasi kikubwa sana hii inatokana na gemu kuingiwa na wapiga dili wengi .
Ndio inawezekana kwani shemeji na wifi yenu tulikutana facebook and then tukaaamia whatsappp kupitia hapo tukawa tunaongea na hadi mwezi uliopita katua bongo land na wiki ijayo anarudi kwao Trump .
Shikamooni wakubwa ,
Waswahili wanasema kuuliza sio ujinga ila lengo ni kutaka kujua.
Sisi wengine tumezaliwa miaka ya 1990.hivuo mambo mengi hatuyafahamu vizuri .
Nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu kauli moja inayosema "KAMA CHAMA NA MONGELA" Ila hadi leo hii sifahamu ni kwa nini imetokea hivyo...
Jamani ama kweli waliosema no research no right to speak "ndo kinachokea kwa mkuu katika uzi huu yani kichwa kichwa kaingia bila kupata muda wa kufanya ata uchunguzi mfupi tu .
enyi wagalatia nani aliyewaroga
Naomba nichukue nafasi hii kutolea ufafanuzi kuhusu suala la ualimu na walimu kwa ufupi
1)ualimu unadharauliwa kwa kuwa serikali imeamua hiyo taaluma idharauliwe ,kwanini nasema hivyo taaluma ya ualimu inaonekana kama plan b baada ya mtu kushindwa kwenda kusoma kitu alichokuwa anakitaka na...
Elimu ya unyagoni ni moja ya elimu inayotambulika katika mfumo wa elimu kwani ni elimu isiyokuwa katika mfumo rasmi na ni elimu ambayo inamanufaa makubwa sana katika maisha ya mahusiano ya familia na ndoa kwa ujumla .
Sema kosa kubwa linalotokea nikukubali elimu rasmi itufanye tuone elimu ya...
Naomba niweke kitu sawa jamani hasa sisi tuliopo kwenye sekta ya elimu ya jamii , ili nchi hii iweze kupiga hatua na hadi kufikia uchumi wa viwanda na wa kati hatuwezi kulibeza au kuiacha sekta ya mahusiano ya kimapenzi kwani ndo msingi mkuu sana kwani familia ndo hutoa watu wa kulijenga taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.